A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

Usichokijua ndugu mleta uzi Tanzania hatuna Chui-Tiger.
Tuna Chui - Cheetah na Chui' Leopard.
Hawa Tiger kama mchoro unavyoonekana wanapatikana Asia
 
Halafu usikute aliyefanya huo utoto ni mtu mzima mwenye familia yake kabisa 🤒 😎 🚮
Kinachochekesha na kusikitisha zaidi ni hao polisi waliomkata jamaa, nao watakuwa na familia kabisa😄😄
 
Akili kumkichwa.....kwahio na maofisa wa benki wakamuogopa mbwa chui
Labda walijua ni Chui,wakatoa taarifa na Polisi kuja wakakuta ni MbwaChui 🤣🤣🤣🤣
Sasa sijui kama Mbwa atapakwa rangi Tena awe Mbwa au atabakia MbwaChui....
 
Back
Top Bottom