Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Vituko kila kona.Inchi ina watu wajinga wajinga sana hii 🤒 😎
Halafu usikute aliyefanya huo utoto ni mtu mzima mwenye familia yake kabisa 🤒 😎 🚮Vituko kila kona.
Matatizo humfanya binadaam kutumia ubongo wake to the fullest.
Noma sanaMkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Ukiwemo weweInchi ina watu wajinga wajinga sana hii [emoji855] [emoji41]
Maafisa walahi wangevunja miguu....Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Wajinga au ni masikini wabunifu?Alitaka aahirishe kadhia ya deni.😂😂😂😂Inchi ina watu wajinga wajinga sana hii 🤒 😎
Hawatasahau hilo saga.Waliite "Tiger by the tail"!Maafisa walahi wangevunja miguu....
Huenda nikweli mkuu. Lakini huyu mbwa uliyeweka Nina muda kibao namuona Facebook tangu 2016!!Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Alizaliwa mwingine.Hu
Huenda nikweli mkuu. Lakini huyu mbwa uliyeweka Nina muda kibao namuona Facebook tangu 2016!!
Nani anataka afanyiwe mambo kama ya OYA?😂😂😂Mwamba kajiongeza😀😀