A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Sasa hapo kuna kosa gani kisheria? Tuanzie hapo maana kwa nchi zetu hizi masikini polisi huwa wanajipa kazi hata sio zao kisheria
 
Hii imenikumbusha yule Mmisri mmiliki wa Zoo aliyempaka rangi Punda ili afanane na pundamilia๐Ÿ˜
Na China pia wamefanya sana kwenye zoo
Na kuna mmoja huko japan aliwauza kondoo kama mbwa na walinunua sana
Mama mmoja akalalamika na kusema mbona hali nyama? ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†
Ni kweli ila mpaka u google ndio mtu ataamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ