Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumpaka mbwa rangi ni kosa na kinyume na kifungu kipi cha sheria?Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Aise umeandika kwa creativity sana na details zina corellation. OYA unanidai pongezi lakini unanigopesha na rangi ulizopaka mimi bahili ngoja nitoke nduki kama nimefatwa na watu wa benkiSasa kosa liko wapi hapo?
Basi na sie tunaopaka rangi ili tuwatishe wanaume mabahili tukamatwe
Coz watu wa mikopo wa siku hizi usipolipa wanakuua halafu wanaulizana
"OYA ashakufa tayari huyu"
OYA WAMETUFUNZA
Ngoja yakukutehao watu wa benki nao ni wapuuzi tu!. wanashindwaje kutofautisha sura ya mbwa na ya chui?
Sasa wewe unashangaa mtu mzima kufanya hivyo tu...wakati tz kuna watu wazima wana miliki kadi za ccm na kusema mama anaupiga mwingi ...sasa huyo na hao yupi.mpumbavuHalafu usikute aliyefanya huo utoto ni mtu mzima mwenye familia yake kabisa 🤒 😎 🚮
Aisee wanatia kinyaa kwa kweliUsicheze na wanaume wa Dar