Kuna Facial Recognition au Biometric facial recognition.
Miji mikubwa duniani wameanza kutumia hii AI kukabiliana na hali zisizotabirika.
Hapa kunakuwa na taswira ambazo zimehifadhiwa kutoka kwenye live recording na baadae AI inafanya repetitive analysis ya target anaetafutwa.
Ndio huu wa kawaida ndugu..
Mbona mengi nimeacha sijaeleza kabisa maana ungekua mgumu zaidi. Artificial Neural networks sijaeleza na Neurolink na Neurology
Hahahaaa napenda maswali yake yalivyo mengi. Hadi unakuta anachekshaHivi ulimwita Zurri humu ndani aje kufanya nini wakati ulijua wazi akija ataanza mambo yake ya dini na mjadala utahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi nimeona ni mgumu sana.Ndio huu wa kawaida ndugu..
Mbona mengi nimeacha sijaeleza kabisa maana ungekua mgumu zaidi. Artificial Neural networks sijaeleza na Neurolink na Neurology
Kuhusu 'Who is the most powerful person on earth'.Pole.. Niambie wataka niandike kuhusu nini nikuandikie
Kuna kitu nimefikria niandike sijui ni link na hili. Au fungua wewe afu nitachangia tuKuhusu 'Who is the most powerful person on earth'.
Hapa tutaweza kujua historia za watu kutokana na kila mtu anavyoona powerful person wake ni nani na ni kwanini.
Nilishauandika halafu nikagusa sijui wapi akaufutika. Na nilitumia akili sana kuuandika na muda wa kutosha. Si unaelewa kukusanya data na kuzichambua na kuanza kuandika inavyochukua muda?Kuna kitu nimefikria niandike sijui ni link na hili. Au fungua wewe afu nitachangia tu
Kabla ya kuwapush watoto kufanya vitu ambavyo hata sisi hatuvijui, kwa namna misingi ya jamii yetu ilivyojisimika kwenye muhimili wa anasa,starehe,siasa na umbeya wale wanaodhani maoni yako ni ya msingi, wajikite kwenye fani hizo bila kujali umri wao, na utaratibu wao wa maisha wa sasa..wazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths..Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi
Pole sana hebu jaribu tena kuandika. Kwani hua hubki na copy ya kile ulichoandika.?Nilishauandika halafu nikagusa sijui wapi akaufutika. Na nilitumia akili sana kuuandika na muda wa kutosha. Si unaelewa kukusanya data na kuzichambua na kuanza kuandika inavyochukua muda?
Basi nimekata tamaa.
Mifumo ya elimu bongo inatakiwa iwe konk sana! Haya malumbano ya kisiasa ndio yanaharibu tusiendelee. Eti mtu akigundua silaha, anakamatwa anatiwa ndani. Mawaziri wana kazi ya ku-abandon upinzani tu. Time Travel iliwezekana kwa Yesu pekee.
Unatusi serikali yetuTanzania bado tunapambana kuomba misaada tujengewe matundu ya vyoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefutika kwenye Microsoft words.Pole sana hebu jaribu tena kuandika. Kwani hua hubki na copy ya kile ulichoandika.?
Nitumie hizo data then nitakuandikia..Imefutika kwenye Microsoft words.
Nilikuwa naandika mle kisha nije kupost huku.
Ila wewe umeni offer niseme chochote ninachotaka uandike.
Kazi yangu ya kila sikuTuitendee hii thread haki. nani hapa JF wanapractice hizi mambo za artificial intelligence & machine learning?