A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Kuna Facial Recognition au Biometric facial recognition.

Miji mikubwa duniani wameanza kutumia hii AI kukabiliana na hali zisizotabirika.

Hapa kunakuwa na taswira ambazo zimehifadhiwa kutoka kwenye live recording na baadae AI inafanya repetitive analysis ya target anaetafutwa.

MKUU WA POLISI TABORA ANAHITAJI SANA HII ILI AGUNDUE WANAOTAKA KUJINYONGA
 
Kuhusu 'Who is the most powerful person on earth'.
Hapa tutaweza kujua historia za watu kutokana na kila mtu anavyoona powerful person wake ni nani na ni kwanini.
Kuna kitu nimefikria niandike sijui ni link na hili. Au fungua wewe afu nitachangia tu
 
Kuna kitu nimefikria niandike sijui ni link na hili. Au fungua wewe afu nitachangia tu
Nilishauandika halafu nikagusa sijui wapi akaufutika. Na nilitumia akili sana kuuandika na muda wa kutosha. Si unaelewa kukusanya data na kuzichambua na kuanza kuandika inavyochukua muda?
Basi nimekata tamaa.
 
.wazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths..Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi
Kabla ya kuwapush watoto kufanya vitu ambavyo hata sisi hatuvijui, kwa namna misingi ya jamii yetu ilivyojisimika kwenye muhimili wa anasa,starehe,siasa na umbeya wale wanaodhani maoni yako ni ya msingi, wajikite kwenye fani hizo bila kujali umri wao, na utaratibu wao wa maisha wa sasa.
 
Nilishauandika halafu nikagusa sijui wapi akaufutika. Na nilitumia akili sana kuuandika na muda wa kutosha. Si unaelewa kukusanya data na kuzichambua na kuanza kuandika inavyochukua muda?
Basi nimekata tamaa.
Pole sana hebu jaribu tena kuandika. Kwani hua hubki na copy ya kile ulichoandika.?
 
Pole sana hebu jaribu tena kuandika. Kwani hua hubki na copy ya kile ulichoandika.?
Imefutika kwenye Microsoft words.
Nilikuwa naandika mle kisha nije kupost huku.
Ila wewe umeni offer niseme chochote ninachotaka uandike.
 
Back
Top Bottom