Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
thanks for the tag Wajina.!
Nitaja kusoma asubuhi yote, imenivutia sana!
You're the best as always..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks for the tag Wajina.!
Nasoma mavitabu yapo na hundreds pages, unataka kusema nini hapa vile?Ahsante. Pole kwa kukuchosha na lipost lirefu...
Nakuja,nimeitikia wito.
Pamoja nduguPamoja sana broh..
Kwanini usinisaidie ku-Verify. Hii ni open topic kama nakosea mahali nilekerbisheUvumbuzi wa Computer ulitoka jeshini.
Mkuu verify hiyo info nahisi kuna kitu hakiko sawa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ule wa kawaida ulioniambia? Mbona hauonekani Kama ni wa kawaida?.Ahsante kwa kusoma pia.. beautiful
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi ambayo tunaona hayawezekani au hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango..Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.
Unakubali ya kuwa utabiri nje ya ufunuo ni ubahatishaji ? Sasa kwanini wanajishughulisha na kamali/kamari/bahati nasibu?Vipi yasipotokea hayo wanayoyatabiri ? Huoni kama wanapoteza muda na nguvu zao ? Huwa wanasema nini baada ya kufanya tabiri zao ?Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.
Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi. Tutakua tunaishi katika Smart World hivyo binaadamu anaweza kusafiri less than 30 min kutoka bara moja kwenda lingine, Binaadamu anaweza kuanaanza kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence At large,kilimo,Elimu,teknolojia vitaboreshwa, Dini zinaweza kua zimeungana nyingi kurudi kwenye shina kuu (Hasa ukristo)
Haya ni matumizi mabaya ya akili.Wanao jaribu kufanya hivyo hawajui kifo ni nini. Kwa maana hiyo hao katika hili tunawaita Wajinga.Achieve maisha yasiyo na kifo kwa ghalama yoyote ile.
Genesis
Tarehe 4 September 1927 Boston Massachusetts alizaliwa mtoto kutoka familia ya wahamiaji kutoka Ireland ya bwana John patrick na mkewe Ida McCarthy ambao walikua ni wayahudi, mtoto huyo aliitwa John McCarthy. ....
Mwanzoni wa Miaka ya 1950 kulikua na majina mbalimbali amabayo walikua wanayatumia kuita mashine ambazo zina uwezo wa kufikiria, kulikua na majina kama Cybernetics,automata theory, complex information processing nk. Mwaka 1955 McCarthy akiwa ni profesa msaidizi wa hisabati katika chuo cha Dortmouth aliunda kundi ili kuthibitisha na kuendeleza theories zinazohusu mashine zenye uwezo wa kufikiria(thinking machine).
Udadisi sio ki2 kibaya, wakiendelea kudadisi wanaweza ibua concept nyingine ambayo ni practical.Mkuu intime, patience na right technology inaweza wezekana, kila kitu ni energy.
Kwenye uhalisia universe is made of balance nikimanisha positive and negative kwa time ni clockwise and anticlockwise with right tech we could explore these two.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huu wa kawaida ndugu..Huu ndio ule wa kawaida ulioniambia? Mbona hauonekani Kama ni wa kawaida?.
Mgumu sana.
Hee we jamaa kwamba mtoto mdogo akili haifanyi kazi? Hivi umesoma saikolojia kweli mkuu?