A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Is gone so early due to curses levelled against him from noxious actions he committed against innocent civilians in general, It's God who passed His verdict to save the people from the would be more pangs were he led the country in this final term.
It's not curses that made him die. It needs smart brain to hold discussion about the matters concerning Magufuli's leadership on URT. And that's why am not engaging on politics topics nowdays.
As time going on and you keep growing the truth will reveal itself. Don't waste your time relax
Acha uongo
Wewe ndio unajua kila kitu sio ?
 
Kuua "wajinga wajinga "Basi aachwe atafunwe na funza tu hakuna cha legacy wala nini. Tuliobaki tunatamka kuwa mwendazake ni wa kuchimbuliwa na kumiminiwa risasi 38 afe kabisa>
funza ni wa kila mtu,au kuna sehemu chadema wameahidiwa hawataliwa na funza[emoji23][emoji23][emoji23].

ufala ni kuamini kifo ni adhabu.
 
Mkuu, ni KORONA.. Em ingia kazini basi😁
 
Sina shida na content ya uzi wako, ni haki yako kuomboleza, na watu wote wana paswa kukupa pole endelevu! Tatizo dogo tu ni hiyo heading yako, hasa neno “living” nafikiri ungeweka neno “dead”, maana angekua living legend, kungekua na haja gani ya kumwombolezea?!
 
[emoji23][emoji23]muumba wenu nyumbu amejibu maombi yenu nyumbu.na akawasahulisha kwamba hata nyinyi mtakufa.

msisahau kupa sadaka hata ya kaki za kikamanda.
 
Mnaotukana kwenye hiyo mitandao si nyie au mnafikiri hatuwajui. Tunawajua sana kuwa ni kikundi kinachojiita CCM mtandaoni kikiongozwa na kiongozi wenu Msiba na sasa hivi mna stress hatari maana haijulikani kama mtaendelea kupewa hizo posho.
 
Sina shida na content ya uzi wako, ni haki yako kuomboleza, na watu wote wana paswa kukupa pole endelevu! Tatizo dogo tu ni hiyo heading yako, hasa neno “living” nafikiri ungeweka neno “dead”, maana angekua living legend, kungekua na haja gani ya kumwombolezea?!
 
Mkuu hakuna watu wengi wanao jitokeza kumpinga, ni wachumiatumbo njaatu na maskini ambao kwa uvivuwao wa kazi wamejikuta hivyo, hao ndio wanaotapika nyongozao kwa hasira humu maana walizoea kubebwa na wajombazao mafisadi, wengine ni vyetifeki walio tumbuliwa.

Ukitaka kujua hilo angalia wenye akili waliojuwa uzalendo na maono waliamua kuunga mkono juhudi za Hayati Magu ilikujenga nchi pamoja.

Hawa humu wanaopiga makelele niwachovu wachache tu wenye ID mbili mbili.
 
[emoji23][emoji23]muumba wenu nyumbu amejibu maombi yenu nyumbu.na akawasahulisha kwamba hata nyinyi mtakufa.

msisahau kupa sadaka hata ya kaki za kikamanda.
Mlidhani umaaluni mliokuwa mnatenda mlikuwa mnatenda mbwa! Sasa ni zamu yenu! Kuleni waya mkono kutoka juu upo kazini! Bashiri umemuona alivyovimbisha mashavu kama anayepuliza moto!? Ilifikia mahali hadi kuvamia madhabahu za muumba! Yajayo yanafurahisha---
 
kila siku binaadam anajifunza.

na hatuwezi sema kitu maana amefariki kabla hajamaliza hata huo muhula wa pili,kwahiyo haifai kuitwa funzo hili maana halina uhalisia.
Aliowaua walimaliza mambo yao?
 
muumba hatabiriki na wala hana rafiki wa kudumu.

ni ujinga kudhani anapendelea sehemu fulani kwa sababu fulani,tena ni kumkasirisha kama hufahamu.
 
LINDI NA MTWARA BADO WANAMSUBIRI AKAWALIPE KOROSHO ZAO.

Hayati MR.MISIFA[emoji3]
 
Kwani si uomboleze kimyakimya lazima utupigie makelele ?
 
Angekuwa shujaa kweli na msafi asinge mchukia prof. Assad kumkagua na kueleza wizi wake wa matrilion huku akijificha kwenye mgongo wa kuita watu wanyonge, huyo shujaa wenu wa chato hajafikia na hata fikia level ya hata kuwa shujaa wa mkoa

Shujaa anakimbia kukosolewa na ukimkosoa unapotea huyo ni shujaa au jambazi? Shujaa hataki kupingwa na yeyote shujaa alionesha njia gani kwa mfano kufungia vyombo vya habari vinavyo mwambia ukweli na kueleza madhaifu yake? Huyo shujaa wenu vipi jaman? Msipingane na ukweli kwamba mungu ameona ni vyema na ni haki shujaa wenu huyo apumzishwe milele.
 
Dogo, jikite kwenye mada..

Hizi propaganda za kitoto zilisha buma kitambo. Hata mwenzako musiba anajua.

Ukitaka kujua Cdm ipo juu kuliko ccm kwa Tz bara, itisha uchaguzi HURU (kusiwe na figisu wala wizi wa kura) jimbo lolote uone
 
hahaaa haaaa kichekesho kweli
 
muumba hatabiriki na wala hana rafiki wa kudumu.

ni ujinga kudhani anapendelea sehemu fulani kwa sababu fulani,tena ni kumkasirisha kama hufahamu.
Nyie mlishamtambua mwenda zake kuwa ni mungu "nukuu ya Kabudi" na wengine wakamtambua kama yesu kristo Nukuu ya kangi lugola. Na wengine wakasema ni zaidi ya manabii isa na mtume mohamed "nukuu" ya sheikh wa Dar. Kiongozi wa malaika "nukuu ya mwendazake"
Ukweli ilikuwa hakuna jinsi ila kumbeba kiumbe aliyejifananisha na muumba poleni lakini tuanze upya sasa at a level ground!
 
Mzee mbona unajitia dole na kunusa mwenyewe
Eti chadema wanatukanwa kila sehemu kwani umesahau mwaka jana kwenye kampeini chadema ilijaza watu na huyo mwendazake akiwa anapondwa?

Ila endelea kunusa hilo dole lako mwisho utachoka maana aliyesema chadema itakufa kafa yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…