A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Hizi zote ni conspiracy... hakuna alie na uhakika na kupotea kwa hao watu au Lissu kupigwa risasi. Dereva wa Lissu mpaka leo Chadema wamemficha. Lakini hamuulizi kwanini anafichwa ana siri gani? Wanasiasa wamewalazimisha muamini ni magufuli anahusika. Anyway time will tell

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Kama kweli uliyoandika basi tulikuwa na utawala dhaifu kupita maelezo
Na hakika dhaifu na muovu.
 
Back
Top Bottom