A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Mmagufuli alishindwa hata somo dogo la kuficha siri kubwa mahali kweupe "alikuwa mshamba"
Wewe ndio mshamba,yani kiongozi wa nchi awafiche wananchi wake siri ya mambo yanayolihusu Taifa?si uhayawani huo!,na afiche kwa faida ya nani?,tumia akili😎
 
Watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba tangu enzi za kikwete,usiongope!

Juzi tu hapa tumemuokota ndugu yetu kwenye kiroba,kakatwa na mapanga,alikuwa ni dereva na hakuibiwa chochote huko kitunda,naye utasema ni magufuli?!!
Huwezi amini,yale majeneza na list ya watu kufa kwa corona huko kwa akina mange kimavi na kigogo hayapo tena,unafiki ndio unotukwimisha Waafrica,kuukataa ukweli na kuukumbatia na kuupalilia uongo,muda ndio utakaotoa majibu.
 
Unapoteza muda kumlilia muuaji.
Wewe pia unapoteza muda kutaka kuaminisha watu kuwa alikuwa muuaji,alimuua nani?lete ushahidi.
Toka lini jeneza la muuuaji lisindikizwe na mamilioni ya watanzania wakimlilia.
 
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Endelea. Mama Janet mwenyewe keshajiendea Dsm, we endelea kuomboleza .

Yeye mwenyewe alikuwa muumini wasirini na wasiojulikana . Halafu unataka kifo chake kiwekwe wazi ?!. Hatorudi zoea.

Mwisho siku huyo nchi ilikuwa imemharibikia . Ilimharibikia Nyerere sembuse na Maghufuli ! ProMagufuli
Unaweza kunipa mifano inayodhihirisha kuwa nchi ilikuwa imemuharibikia?ili na mimi nikupe mifano inayodhihirisha jinsi gani alifanikiwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
 
Unaweza kunipa mifano inayodhihirisha kuwa nchi ilikuwa imemuharibikia?ili na mimi nikupe mifano inayodhihirisha jinsi gani alifanikiwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
Ukishaanza kushikilia account za watu. Ndiyo mafanikio ?!. Ukishaanza kuumiza wananchi wenzio ndiyo mafanikio ?!. Tafuta walipo wafugaji wakusimulie eti kisa wengine waliingiza mifugo hifadhini, wavuvi wakuhadithie cha kurudishwa zero ,wafanyabiashara ndiyo usiseme !!.

Achana na hotuba za propaganda majukwaani
 
Ukishaanza kushikilia account za watu. Ndiyo mafanikio ?!. Ukishaanza kuumiza wananchi wenzio ndiyo mafanikio ?!. Tafuta walipo wafugaji wakusimulie eti kisa wengine waliingiza mifugo hifadhini, wavuvi wakuhadithie cha kurudishwa zero ,wafanyabiashara ndiyo usiseme !!.

Achana na hotuba za propaganda majukwaani
Account za akina nani zilishikiriwa na JPM na kwa sababu zipi?
Ni wananchi wa wapi hao walioumizwa na JPM na kwa sababu zipi?
Huwezi kuandika kinachoeleweka kwa ushahidi?
kwenye upande wa biashara,wapo waliofunga biashara kutokana na kukwepa kodi,tatizo lililokuwa limeota mizizi kwenye Taifa hili,magendo n.k.
Tatizo la kodi kandamizi na mifumo ya hovyo haikuanzishwa na JPm,ilikuwepo kabla yake na hicho ni moja ya chanzo cha ukwepaji kodi.
lkn nakumbuka aliitisha kikao na wafanyabiashara kutoka kila wilaya pale ikulu ktk hatua ya kutatua changamoto zao.
 
Tread softly, okay!??? We loved him so much, but the bitter truth is, he is no more. You can choose to live in unforgiving bitterness ama you can choose to move on ^positive-mindednessly.^ The best way to honor his legacy is to emulate his profound spirit of unassuming patriotism, deep & real love for his people, efficient and productive hardwork and creative leadership style.

I love the way he went his way while we still needed him the most. Sounds confusing, yeah!??? Not quite really!!! In my opinion, the seemingly brief moment has witnessed enormous breakthroughs so much so that individuals of goodwill cannot help but ponder and wonder. He has delivered his best. In the language of a common man, ^Magufuli ametufumbua macho; tumeyajua mengi sana yaliyokuwa yamejificha.^

It is as though the good angels alerted him from the outset of his regime, that he had no time to lose. He worked with dispatch. He worked day in and day out, spending sleepless nights dreaming, as it were, and planning as best as he could for the welbeing, sustainable development & future prosperity of his country and people. He has shed an amazing light never again to be extinguished. The path he trode & traced can never be erased.

Even his vicious enemies know very well that he was an exceptional figure -- not only that he knew what his people needed the most, but he had all it takes to get them there in order to realize their long-delayed desires. He led by example. Nothing, in his opinion, should be allowed to hamper this singular goal. Though very humble, he was tough & undaunted. Though a character of unquestionable generosity, he very well understood mathematics of economization. He was also charismatic, affable, widely loved and lovable. He loved and feared God, too.

He always found opportunity to talk to and with his people in a manner with which close, familiar and mutually respecting friends and companions would usually address each other. He listened to them. He felt their cries. He heard their problems and even solved most of them on the very spot. He would jokingly but seriously tell his eager and cheering crowds, ^Mambo mengine siyo ya kungoja na kuyachelewesha; tunayamaliza hapahapa. Au nasema uongo ndugu zangu?^ No wonder his successor President Samia has it as her new slogan, ^Zege halilali!^

He hired and fired the way a real responsible boss & manager would normally do, or more acurrately, would be expected to do. He took orders from no one. He paid no attention to detractors. Never even once was he cowed into submission nor compliance by selfish imperialists, self-designated super- and hyper-powers of the world, nor their cartels and all their comprehensive channels of exploitation. He fought them like hell -- left, right, center -- every whichway that their venomous heads, so to speak, seemed to protrude and intrude into the nation's internal affairs. And he triumphantly won!

Sometimes when the goings seemed to get tough and rough, he would eloquently reassure his subjects, ^Jamani, eti na madudu haya nisiyaseme? Kwa kumwogopa nani? Sasa nilichaguliwa ili niwe Rais wa nini? Si afadhali nife lakini ukweli nimeusema?^ He was the true definition of man of, for and by the people. Those who call him the true Son of Africa are clearly unmistaken. He was a Pan-Africanist, the incarnate, combination and embodiment of late Mwalimu Nyerere and great leaders Africa has ever had.

When PLO was once asked why he thinks Magufuli ranks as one of the best presidents, the famous law professor replied solidly: ^Magufuli had a clarity of vision that was underpinned by true patriotism. One thing among many that he has taught us is that it matters the most who is at the top -- leadership matters and Magufuli was its doctor. All African leaders should take a benchmarking tour under the tutorship of John Magufuli in order to learn the finer points of governance.^

That makes me even happier than almost all sadness combined. I would rather honor his glimmering legacy by emulating his much-coveted rare spirit, rather than wailing in an unfathomable, never-ending, fruitless uncertainty. Surely and wilfully, may his name be preserved in all the capitals, not of Africa, as one notable president recently remarked during his send-off address, but rather in all the capitals of our hearts, brains, souls and actions. Those who assert that once legends are born they never go, are just right on a point of highest note.
Jasmoni Tegga, Thank You!
 
Account za akina nani zilishikiriwa na JPM na kwa sababu zipi?
Ni wananchi wa wapi hao walioumizwa na JPM na kwa sababu zipi?
Huwezi kuandika kinachoeleweka kwa ushahidi?
kwenye upande wa biashara,wapo waliofunga biashara kutokana na kukwepa kodi,tatizo lililokuwa limeota mizizi kwenye Taifa hili,magendo n.k.
Tatizo la kodi kandamizi na mifumo ya hovyo haikuanzishwa na JPm,ilikuwepo kabla yake na hicho ni moja ya chanzo cha ukwepaji kodi.
lkn nakumbuka aliitisha kikao na wafanyabiashara kutoka kila wilaya pale ikulu ktk hatua ya kutatua changamoto zao.
Nimekutolea mfano hapo wa wafugaji na wavuvi . Watafute uwaulize .
 
Wewe pia unapoteza muda kutaka kuaminisha watu kuwa alikuwa muuaji,alimuua nani?lete ushahidi.
Toka lini jeneza la muuuaji lisindikizwe na mamilioni ya watanzania wakimlilia.
Katika nchi ya wajinga wengi kama hii hata msiba wa Trump ukitembezwa mitaani mitaa yote itafurika na wapo wengi tu watalia na kuzimia.
 
Katika nchi ya wajinga wengi kama hii hata msiba wa Trump ukitembezwa mitaani mitaa yote itafurika na wapo wengi tu watalia na kuzimia.
Ilikuaje nyinyi welevu kukubali kuongozwa na wajinga!😅
 
Ukisoma Nyuzi Kama hizi Ndio utagundua vijana hawana kazi /ajira, vile vile ni wapuuzi.

Hakuna mtu mwenye kazi yake inayomuweka busy anaweza kuwaza marehemu wakati wote hata angelikuwa mzazi wako.Vijana tafuteni kazi za kufanya acheni kuota mchana.

Usipojipanga Utapangwa,Tanzania kazi inaendelea Nchi huwa haifiwi
Mbona na ww huko humu. Hujapata kazi ya kufanya
 
Nia njema ukichanganya na uovu daima uovu hufunika nia njema. Pan africanism yes Magufuli alionesha kwa maneno na kidogo matendo. Huyu angeweza kuungana na upinzani kabisa kama asingeficha uovu mchafu katika kivuli cha nia njema.
Kwamba mabeberu wanamezea mate raslimali zetu? Ni kweli kabisa! Kwamba mikataba ya madini na mikataba mingine ni ya kinyonyaji? Ni kweli kabisa! Kwamba Africa na Tanzania inao uwezo wa kuendelea bila kutegemea mabeberu? Ni kweli kabisa!
Lakini kwa nini uue wanaokupinga bila sababu?
Kwa mara ya kwanza watu wanaokotwa ufukweni katika viroba wakiwa wametwezwa zaidi ya mbwa!
Kwamba akina Ben Saanane na azori walifanya kosa gani?
Tundu Lissu kwa mtizamo wake ninavyomfahamu ni pan africanist mzuri kabisa na angeweza kumsaidia huyu mwendazake vizuri kabisa. Kwani mfano aliposhauri tupiganie kubadilisha sheria za kimataifa kuhusu madini na raslimali zetu alifanya kosa gani la kumsababishia kifo?

Kama kweli huyu alikuwa na nia njema basi watendaji wake waliingiliwa na mabeberu kuwezesha kujenga chuki dhidi yake kwa kutenda uovu usiomithilika kwa niaba yake. Na kwani ni hakukemea hayo?
Kama mnataka tuwaelewe! Chunguzeni ule unyama na uovu dhidi ya ubinadamu mkianzia na kutoweshwa kwa Ben na Azori na baadaye kujeruhiwa kwa TAL.
Kamateni Bashite na Ally Hapi, na TISS watuambie ni nani aliyewatuma waiharibu nia njema ya SHUJAA.
Hizi zote ni conspiracy... hakuna alie na uhakika na kupotea kwa hao watu au Lissu kupigwa risasi. Dereva wa Lissu mpaka leo Chadema wamemficha. Lakini hamuulizi kwanini anafichwa ana siri gani? Wanasiasa wamewalazimisha muamini ni magufuli anahusika. Anyway time will tell

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom