mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Kama kweli uliyoandika basi tulikuwa na utawala dhaifu kupita maelezoHizi zote ni conspiracy... hakuna alie na uhakika na kupotea kwa hao watu au Lissu kupigwa risasi. Dereva wa Lissu mpaka leo Chadema wamemficha. Lakini hamuulizi kwanini anafichwa ana siri gani? Wanasiasa wamewalazimisha muamini ni magufuli anahusika. Anyway time will tell
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Na hakika dhaifu na muovu.