A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Mmagufuli alishindwa hata somo dogo la kuficha siri kubwa mahali kweupe "alikuwa mshamba"
Wewe ndio mshamba,yani kiongozi wa nchi awafiche wananchi wake siri ya mambo yanayolihusu Taifa?si uhayawani huo!,na afiche kwa faida ya nani?,tumia akili😎
 
Watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba tangu enzi za kikwete,usiongope!

Juzi tu hapa tumemuokota ndugu yetu kwenye kiroba,kakatwa na mapanga,alikuwa ni dereva na hakuibiwa chochote huko kitunda,naye utasema ni magufuli?!!
Huwezi amini,yale majeneza na list ya watu kufa kwa corona huko kwa akina mange kimavi na kigogo hayapo tena,unafiki ndio unotukwimisha Waafrica,kuukataa ukweli na kuukumbatia na kuupalilia uongo,muda ndio utakaotoa majibu.
 
Unapoteza muda kumlilia muuaji.
Wewe pia unapoteza muda kutaka kuaminisha watu kuwa alikuwa muuaji,alimuua nani?lete ushahidi.
Toka lini jeneza la muuuaji lisindikizwe na mamilioni ya watanzania wakimlilia.
 
Unaweza kunipa mifano inayodhihirisha kuwa nchi ilikuwa imemuharibikia?ili na mimi nikupe mifano inayodhihirisha jinsi gani alifanikiwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
 
Unaweza kunipa mifano inayodhihirisha kuwa nchi ilikuwa imemuharibikia?ili na mimi nikupe mifano inayodhihirisha jinsi gani alifanikiwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
Ukishaanza kushikilia account za watu. Ndiyo mafanikio ?!. Ukishaanza kuumiza wananchi wenzio ndiyo mafanikio ?!. Tafuta walipo wafugaji wakusimulie eti kisa wengine waliingiza mifugo hifadhini, wavuvi wakuhadithie cha kurudishwa zero ,wafanyabiashara ndiyo usiseme !!.

Achana na hotuba za propaganda majukwaani
 
Account za akina nani zilishikiriwa na JPM na kwa sababu zipi?
Ni wananchi wa wapi hao walioumizwa na JPM na kwa sababu zipi?
Huwezi kuandika kinachoeleweka kwa ushahidi?
kwenye upande wa biashara,wapo waliofunga biashara kutokana na kukwepa kodi,tatizo lililokuwa limeota mizizi kwenye Taifa hili,magendo n.k.
Tatizo la kodi kandamizi na mifumo ya hovyo haikuanzishwa na JPm,ilikuwepo kabla yake na hicho ni moja ya chanzo cha ukwepaji kodi.
lkn nakumbuka aliitisha kikao na wafanyabiashara kutoka kila wilaya pale ikulu ktk hatua ya kutatua changamoto zao.
 
Jasmoni Tegga, Thank You!
 
Nimekutolea mfano hapo wa wafugaji na wavuvi . Watafute uwaulize .
 
Wewe pia unapoteza muda kutaka kuaminisha watu kuwa alikuwa muuaji,alimuua nani?lete ushahidi.
Toka lini jeneza la muuuaji lisindikizwe na mamilioni ya watanzania wakimlilia.
Katika nchi ya wajinga wengi kama hii hata msiba wa Trump ukitembezwa mitaani mitaa yote itafurika na wapo wengi tu watalia na kuzimia.
 
Katika nchi ya wajinga wengi kama hii hata msiba wa Trump ukitembezwa mitaani mitaa yote itafurika na wapo wengi tu watalia na kuzimia.
Ilikuaje nyinyi welevu kukubali kuongozwa na wajinga!😅
 
Mbona na ww huko humu. Hujapata kazi ya kufanya
 
Hizi zote ni conspiracy... hakuna alie na uhakika na kupotea kwa hao watu au Lissu kupigwa risasi. Dereva wa Lissu mpaka leo Chadema wamemficha. Lakini hamuulizi kwanini anafichwa ana siri gani? Wanasiasa wamewalazimisha muamini ni magufuli anahusika. Anyway time will tell

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…