GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Zero IQ
@behaviorst
GuDume
na wachakataji wote
Karibuni huku.
Binti usimsahau tajiri wetu wa hapa jf ni Kiduku Lilo
Ha ha ha ππππππ... Mwambie anitumie picha yake nimwone. Na umfahamishe mimi ndo mmiliki wa hii mitandao ya kijamii afahamu kabisa.asiponitreat vizuri nitamwondoa mitandao yote na kum block.
Kama ukipata tatizo lolote la ulozi mwambie Mshana Jr
King wa misimamo thabiti Kiranga
Huyu Zero IQ yeye anauza kiepe.