A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

Wanawake wa mtandaoni nilishaacha kitambo sana kuwatongoza na hiyo ni baada ya kupigwa Sana mizinga wakati mwingine huwa tunachati na boys wenzetu ila wanakuwa wameweka picha za kiume.
 
Kamati itakuita kesho uje upewe adhabu..... Wewe hujishangai wote wanaokusifia ni wanaWake! Wewe ni Muhuni mwenzetu ndo maana ulikuwa tayari kuchepuka ila naona vigezo vya mchepuko uliyekuwa unamtaka ndo havijakidhi
Namba siku save maana alinitumia nikiwa nishajua huyu sio so sikuizingatia kusave wakat na delete conversations nayo ikaenda ila hata nisingefuta dah sidhani kama ningei display public maana isingekua poa
 
Kamati itakuita kesho uje upewe adhabu..... Wewe hujishangai wote wanaokusifia ni wanaWake! Wewe ni Muhuni mwenzetu ndo maana ulikuwa tayari kuchepuka ila naona vigezo vya mchepuko uliyekuwa unamtaka ndo havijakidhi
😂😂😂😂😂😂
 
What does a man of class have to do with this?
 
Hao ni wauza nyapu, wanaweka kambi sehemu(lodge/hotel ama gheto kabisa) kisha "wanakula vichwa kama vinyozi"
 
Taratibu naona unanyemelea kambi ya wanaume wenye mashamba mbalimbali. Bahati mbaya umeoa tayari. Either way inabidi uamue soon kuexpand ama kubaki ulipo.
 
HUNA HELA,PESA,FEDHA,MANOTI,MTONYO,MPUNGA,MKWANJA,MSHIKO,MAVUMBA😀😀😀😀 TAFUTA TAFUTA TAFUTA PESAAAAAAA BRAH
 
HANA HELA MSHAURI ATAFUTE PESA
 
MWENYEKITI kasema.
 


Ni hivi huyo ni changu, biashara zao ni mwanza, dar,dodoma,zenji na Arusha. Kwa Dar utawapata wengi Sinza kwa mugabe au madukani na pia maeneo ya tabata. Mafikio yao ni kwenye Lodges!! Wanakodi vyumba kwa wiki au mwezi kabisa. Ukijilengesha insta au tiktok , unaelewana nae unaenda kupiga mzigo, uzuri ni kuwa hulipii pesa ya lodge. Pia ukijifanya una care sana lazima upasuke kumtoa dinner au lunch. Hao wapo kibiashara tu , usiingie kwa gia ya kumpenda au kumtongoza awe mpenzi wako
 
Mkuu upendwe na demu tiktok ambae kutwa kucha anajibinua na kutikisa makalio, ukimcheki ana tattoos kifuani na mkononi? Mbaya zaidi katoka mwanza na anaishi lodge sinza kwa mugabe...hahaaa

Mkuu Dp au umesahu machimbo baada ya kumpata mama J?
 
Kwamba utavaa ndom hadi ya mdomoni pia ama?
 
Afadhari wewe umeelewa nazungumzia nini japo muhusika si huyu ila hana tofauti na haiba ya hawa unaowataja na kuwafananishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…