A serious woman to Marry is needed

A serious woman to Marry is needed

Nyie si mnasema mnaoa hata miaka 60, ila sisi tukivuka 25 bila ndoa ni kelele kila mahali.
Mie hata sisemi na wala sitasema hivyo, yawezekana mwenye ubavu wake anahangaika kukutafuta huko uliko hakupati la msingi ni kuwa na subira na kumwamini Mungu tu. Sio Vijana wa humu mitandaoni wao wenyewe wanatamani kumiliki hata Malaya lakini tatizo hata hela ya kumnunulia kijora huyo Malaya hawana
 
Huku ni kuwadhalilisha tu why amewa mention wawili ? Au huwa mnampelekea malalamiko ? Mungu yupo Swahiba you will find your soulmate kwa wakati ulio sahihi. God's time is perfect.
Sio issue serious bwana yaani nikiwa na akili zangu timamu nimpelekee malalamiko mzabzab ati sijaolewa? Jamani 🤣 hivi unadhani kweli mimi naweza tafuta mume humu ambapo wengi wanatumia kigezo cha utambulisho fake kufanya vitu vya ajabu na utapeli wa kila aina? Sijachuja kiasi hicho. Mimi asa hivi nadili na hawa naokutana nao physically tu nikiingia humu panabakia mahala pa kupiga soga basi.
 
Mie hata sisemi na wala sitasema hivyo, yawezekana mwenye ubavu wake anahangaika kukutafuta huko uliko hakupati la msingi ni kuwa na subira na kumwamini Mungu tu. Sio Vijana wa humu mitandaoni wao wenyewe wanatamani kumiliki hata Malaya lakini tatizo hata hela ya kumnunulia kijora huyo Malaya hawana
Husemi wapi wewe wakati kuna comment yako nimeiona mahala umeponda hatari. Nyie ndio huwa mnasababisha wadada wengi wanakurupuka kutafuta waume wanashindwa kutuliza akili wanavamia tu yoyote kesho ndoa ikimshinda mnaanza tena kumkandia. Hamfai kabisa nyie.
 
Sio issue serious bwana yaani nikiwa na akili zangu timamu nimpelekee malalamiko kisa sijaolewa 🤣hivi unadhani kweli mimi naweza tafuta mume humu ambapo wengi wanatumia kigezo cha utambulisho fake kufanya vitu vya ajabu na matapeli ya kila aina? Sijachuja kiasi hicho. Mimi asa hivi nadili na hawa naokutana nao physically tu nikiingia humu panabakia mahala pa kupiga soga tu.
But nimejifeel vibaya kuwa mention nyinyi aisee nikajua huwa mna share naye relationship status zenu
 
Husemi wapi wewe wakati kuna comment yako nimeiona mahala umeponda hatari. Nyie ndio huwa mnasababisha wadada wengi wanakurupuka kutafuta waume wanashindwa kutuliza akili wanavamia tu yoyote kesho ndoa ikimshinda mnaanza tena kumkandia. Hamfai kabisa nyie.
Hebu ni mention nione aisee, Mimi ni yule ninaye amini sana wakati ulio sahihi
 
Sasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.
Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mention
Sasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.
Mara ya mwisho kuchapwa viboko ilikuwa mwaka 2003 kidato cha pili tena sekondari ya mkoa huko, nilipohamia sekondari ya jijini hapa sikuwahi kuchapwa aisee labda tuchapane tu. Ukichapa kimoja na Mimi kimoja hivyo hivyo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom