Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Basi jiandae maana vitakushukia kama vyote na hutarudisha hata kimoja 🏃🏃🏃Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mention
Mara ya mwisho kuchapwa viboko ilikuwa mwaka 2003 kidato cha pili tena sekondari ya mkoa huko, nilipohamia sekondari ya jijini hapa sikuwahi kuchapwa aisee labda tuchapane tu. Ukichapa kimoja na Mimi kimoja hivyo hivyo 🤣🤣🤣