Utaandikaje hivi dume zima ? Au una dada yako ? 🤣🤣🤣Kwanini walevi na wanaume walio changanyikiwa wengi hutumia kiingereza, kujieleza?
Umekuwa Meneja Masoko wa kutafutia Dada zetu Wachumba ?🤣🤣🤣
Sipendelei zihaka na utani kwa mambo yangu.AsanteAcha ushamba
Hataki wanyaki, sijui tulimkosea nini.
Atakua ameona ajitolee kuokoa jahazi mana wadada tusioolewa mnatutukana sana.Umekuwa Meneja Masoko wa kutafutia Dada zetu Wachumba ?🤣🤣🤣
This is too low Bro, halafu haipendezi Kabisa kwa Mwanaume kufanya udalali au masihara kama haya
Mbona hata Wakaka tusiooa tupo 😁Atakua ameona ajitolee kuokoa jahazi mana wadada tusioolewa mnatutukana sana.
Nyie si mnasema mnaoa hata miaka 60, ila sisi tukivuka 25 bila ndoa ni kelele kila mahali.Mbona hata Wakaka tusiooa tupo 😁
Huku ni kuwadhalilisha tu why amewa mention wawili ? Au huwa mnampelekea malalamiko ? Mungu yupo Swahiba you will find your soulmate kwa wakati ulio sahihi. God's time is perfect.Atakua ameona ajitolee kuokoa jahazi mana wadada tusioolewa mnatutukana sana.
Mie hata sisemi na wala sitasema hivyo, yawezekana mwenye ubavu wake anahangaika kukutafuta huko uliko hakupati la msingi ni kuwa na subira na kumwamini Mungu tu. Sio Vijana wa humu mitandaoni wao wenyewe wanatamani kumiliki hata Malaya lakini tatizo hata hela ya kumnunulia kijora huyo Malaya hawanaNyie si mnasema mnaoa hata miaka 60, ila sisi tukivuka 25 bila ndoa ni kelele kila mahali.
Sio issue serious bwana yaani nikiwa na akili zangu timamu nimpelekee malalamiko mzabzab ati sijaolewa? Jamani 🤣 hivi unadhani kweli mimi naweza tafuta mume humu ambapo wengi wanatumia kigezo cha utambulisho fake kufanya vitu vya ajabu na utapeli wa kila aina? Sijachuja kiasi hicho. Mimi asa hivi nadili na hawa naokutana nao physically tu nikiingia humu panabakia mahala pa kupiga soga basi.Huku ni kuwadhalilisha tu why amewa mention wawili ? Au huwa mnampelekea malalamiko ? Mungu yupo Swahiba you will find your soulmate kwa wakati ulio sahihi. God's time is perfect.
Husemi wapi wewe wakati kuna comment yako nimeiona mahala umeponda hatari. Nyie ndio huwa mnasababisha wadada wengi wanakurupuka kutafuta waume wanashindwa kutuliza akili wanavamia tu yoyote kesho ndoa ikimshinda mnaanza tena kumkandia. Hamfai kabisa nyie.Mie hata sisemi na wala sitasema hivyo, yawezekana mwenye ubavu wake anahangaika kukutafuta huko uliko hakupati la msingi ni kuwa na subira na kumwamini Mungu tu. Sio Vijana wa humu mitandaoni wao wenyewe wanatamani kumiliki hata Malaya lakini tatizo hata hela ya kumnunulia kijora huyo Malaya hawana
But nimejifeel vibaya kuwa mention nyinyi aisee nikajua huwa mna share naye relationship status zenuSio issue serious bwana yaani nikiwa na akili zangu timamu nimpelekee malalamiko kisa sijaolewa 🤣hivi unadhani kweli mimi naweza tafuta mume humu ambapo wengi wanatumia kigezo cha utambulisho fake kufanya vitu vya ajabu na matapeli ya kila aina? Sijachuja kiasi hicho. Mimi asa hivi nadili na hawa naokutana nao physically tu nikiingia humu panabakia mahala pa kupiga soga tu.
Hebu ni mention nione aisee, Mimi ni yule ninaye amini sana wakati ulio sahihiHusemi wapi wewe wakati kuna comment yako nimeiona mahala umeponda hatari. Nyie ndio huwa mnasababisha wadada wengi wanakurupuka kutafuta waume wanashindwa kutuliza akili wanavamia tu yoyote kesho ndoa ikimshinda mnaanza tena kumkandia. Hamfai kabisa nyie.
Wala hata, sisi ni marafiki zake tu wa hapa jamvini haya maujinga ujinga mengine usiyachukulie serious.But nimejifeel vibaya kuwa mention nyinyi aisee nikajua huwa mna share naye relationship status zenu
Sasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.Hebu ni mention nione aisee, Mimi ni yule ninaye amini sana wakati ulio sahihi
Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mention tuSasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.
Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mentionSasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.
Mara ya mwisho kuchapwa viboko ilikuwa mwaka 2003 kidato cha pili tena sekondari ya mkoa huko, nilipohamia sekondari ya jijini hapa sikuwahi kuchapwa aisee labda tuchapane tu. Ukichapa kimoja na Mimi kimoja hivyo hivyo 🤣🤣🤣Sasa ole wako ukafute. Nikiiona ile comment nitakutag na viboko juu.
Sawa sawa.Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mention tu
ungetaja yote tu 'related to that' ndo nini?from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to that.