Basi jiandae maana vitakushukia kama vyote na hutarudisha hata kimoja 🏃🏃🏃Sina time ya ku rollback mpaka huko wewe ni mention
Mara ya mwisho kuchapwa viboko ilikuwa mwaka 2003 kidato cha pili tena sekondari ya mkoa huko, nilipohamia sekondari ya jijini hapa sikuwahi kuchapwa aisee labda tuchapane tu. Ukichapa kimoja na Mimi kimoja hivyo hivyo 🤣🤣🤣
Usichelewe sasa, usije ukapoteza ushahidi halafu viboko ukachapwa wewe 🤣🤣🤣Sawa sawa.
Nimeumia sana kuona wanyaki hatutakiwi.ungetaja yote tu 'related to that' ndo nini?
usijali mimi nakutaka mwaya.Nimeumia sana kuona wanyaki hatutakiwi.
Ila hizi mambo zinatugawa sana. Mimi tu kuna makabila nimeyakataa kabisa kabisa. Nadhani ingekua poa sana tungekua tunaoana wenyewe kwa wenyewe.usijali mimi nakutaka mwaya.
makabila yameshakufa kitambo sisi wote ni waswahili/watanzaniaIla hizi mambo zinatugawa sana. Mimi tu kuna makabila nimeyakataa kabisa kabisa. Nadhani ingekua poa sana tungekua tunaoana wenyewe kwa wenyewe.
Na hapa ndo utakaponaswa ili itimie ile kauli ya wahenga kuwa "Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.."NB:A woman with a kid Will be concidered too but only if she will be Able to adhere to my conditions regarding her kid’s papa.
Eeh kumbe wee mnyaki....😍😍😍 Aloo mwambie baba na mama nakuja na watake mahari kiasi gani nimpate wife materialHataki wanyaki, sijui tulimkosea nini.
Wee jamaa tulia bwana hapa tunajienjoyUmekuwa Meneja Masoko wa kutafutia Dada zetu Wachumba ?🤣🤣🤣
This is too low Bro, halafu haipendezi Kabisa kwa Mwanaume kufanya udalali au masihara kama haya
Na sisi ma Single Brothers tuanzishie uzi aiseeWee jamaa tulia bwana hapa tunajienjoy
AKirogwa halali yakeNa hapa ndo utakaponaswa ili itimie ile kauli ya wahenga kuwa "Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.."
Singo mom akiolewa tu, mapenzi kati yake na mpenzi wake (mzazi mwenzie) huwa yanarejea kwa kasi ya 5G
kwa bahati mbaya sana sijawahi kuwa mtu wa mzaha.Ahsante!Vipi na mke anaruhisiwa najua munaongea kizungu kama hiki mnapesa sana, nikuachie wife ili mtoto watu apate elimu nzuri ya garama kubwa, au utakataa kumsomesha mtoto wangu.
kwahiyo mmeanzisha uzi juu ya uzi,mimi sibagui makabila isipokuwa nafanya hivyo kutokana na status ya mimi,mfano mnyakyusa anawivu sana hawezi kuishi na watoto ambao si wakuwazaa kama familia,wangoni hawapendi ndugu wa mwanaume na wanapenda ngono hawawezi kuvumilia ,mhaya yeye huwa haridhiki sawa na mnyaturu,mjita ni mtu anapenda aongee yeye tu na huwa hayaoni makosa yake sawa na mkuryaIla hizi mambo zinatugawa sana. Mimi tu kuna makabila nimeyakataa kabisa kabisa. Nadhani ingekua poa sana tungekua tunaoana wenyewe kwa wenyewe.
Are you serious?duh yawezeka ndoa si fungu langu, mie yaani huwezi amini umri na kabila vimenikosesha mume, basi aje ajuza mwenzangu tuyajenge nasisi.
Soma post #60duh yawezeka ndoa si fungu langu, mie yaani huwezi amini umri na kabila vimenikosesha mume, basi aje ajuza mwenzangu tuyajenge nasisi.
Ndio wakoje masingle brother...sijaelewaNa sisi ma Single Brothers tuanzishie uzi aisee