A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Hayo ni matukio ya juzi Sana between 1998 mpaka 2000++ kumbuka kampuni ya kwanza ya Simu za mikononi Tz ilikuwa Tritel ambayo ilianza kama sikose 90++ au early 20++. Ila katika Hawa waliotajwa wote kwa Sasa wanajificha kwenye mwamvuli wa Chama tawala wakiwa walinzi wa chama
Ila wakipata nafasi ndio wezi wakubwa mafisadi wa kodi zetu maana wizi upo damuni
 
Block t alivamia pale kwenye kota za Danish aid
Nje pembeni mwa getini pale nakumbuka kulikuwa na mama mmja wa kizungu mdanish alikuwaga na genge anauza mboga,ndani alitengenezaga Garden moja matata sana
Naye alikuwa mhanga,
Pale kamera ziliwachukua jombi alikaliWa kuti kavu maana ubalozi walikomalia sana kesi yake
Kwa kifupi jamaa alikuwa mpumbv miguvu mingi
Akili hana,jombi si alikuwaga na garage yk pale soweto(nshawahi kumuwasha 20000 kpindi kile)

Ova
alikuwa na FIAT moja 682 box Bdi limeandikwa Jombi. baadae alikwenda kuishi Zambia akarejea akiwa mchovu tu maana vijana wake wengi walishamalizwa.
 
Na Yule Kitana wa Mwanza vipi story zake?
Mwenye uzi wake apandishe tulijue hili jambazi staafu lililojificha kwenye chama cha majizi.
Visiwani kote shughuli yake watu wanajua ameacha yatima na wajane wa kutosha visiwani, akimiliki magenge hatari ya ujambazi.
Leo anamiliki mali za damu za watu.
Jiwe alipiga pesa zake B kadhaa bank.
Ameua watu wengi sana na kuwafanyia ukatili mkubwa Sana enzi zake visiwani hadi Mkuu wa Mkoa enzi hizo Mashishanga akatoa machozi.
Haya majambazi mengi yalilindwa na wakuu wa mapoti maana walikula nao.Kuna Rpc alikuwa anahama na majambazi KILA mkoa akihamishiwa ni kilio.
Saba sita apewe tuzo kwa kuituliza Arusha wamekula sana bullets.Rpc akiwa Mcha Mungu huwezi sikia ujambazi kwenye mkoa wake.
Na yule RPC wa Mbeya aliyeituliza Mbeya apewe tuzo maana wafanyabiashara Mbeya walikimbia haikukalika kabla yake.
 
Wengi walilindwa na Marpc enzi hizo. Ishu ya jombi ubalozi wa Denmark ulitishia kufunga ofisi nao ndipo serikali ikaingilia Kati akabadilishwa RPC akamsambaratisha jombi na majambazi mengi kina tunyande nk.
 
Jombi, Tunyande, Masoli, Mtega a.k.a Kisangani, na vijana wao hatari sana Charles Tende, BOOB G, Mophat walitisha sana. ukimiliki VX unalazimika kuwalipa kodi ya ulinzi ili wasilichukue. Siitamani ile Meya ya hao jamaa.
Kamanda Sanya aliyashughulikia sana majizi ya Mbeya hadi ikawa shwali.
 
Afande Sabasita (Patrick Frank Matei Kimaro) achimba kaburi nyumbani kwake
 
Majambazi mengi yalitafunwa na ukimwi sababu ya ubakaji na kupenda Sana ngono
 
alikuwa na FIAT moja 682 box Bdi limeandikwa Jombi. baadae alikwenda kuishi Zambia akarejea akiwa mchovu tu maana vijana wake wengi walishamalizwa.
Nakumbuka alikuwaga na range model lile la nyuma sanaaa...
Nlikuwa nakutana naye soweto pale garage..kna siku kna ishu alitaka nkamchomekea akanipa 20000 wkt ule,ahh nkapotea mazima dar😂
Yah wapigaji wengi mbeya walikuwa wanakimbilia zambia

Ova
 
Ma rpc wa zamani walikula na majambazi, ilikuwaje majambazi yalitamba hali wapo tu.
 
Rose (Rozii) mke wa kwanza wa Sadik Mkindi siku hizi anaokota makopo mtaani amekua kama teja, ila ukikaa nae anakupa story zote za enzi zao.
Ndiyo hivyo Mkuu ,

Asiyesikia la Mkuu,Mguu uota tende.
 
 
Huyu wakili wa majambazi sina taarifa zake.
Alisoma Ili awatete majambazi
Hahaha naskia alijirusha gorofani
Huko Nai!
Kifo cha jamaa hawa mbona kama kuna ile chain fulani ilipukutika
Maana hata sambeki alikufa kiajabuajabu

Ova
 
Hahaha naskia alijirusha gorofani
Huko Nai!

Kifo cha jamaa hawa mbona kama kuna ile chain fulani ilipukutika
Maana hata sambeki alikufa kiajabuajabu

Ova
Laana ya damu za watu.
Usicheze na machozi ya wajane na yatima.
 
Wengi walilindwa na Marpc enzi hizo. Ishu ya jombi ubalozi wa Denmark ulitishia kufunga ofisi nao ndipo serikali ikaingilia Kati akabadilishwa RPC akamsambaratisha jombi na majambazi mengi kina tunyande nk.
Walifanya kitendo cha kinyama sana
Jombi akili zake za kijinga miguvu mingi tu

Ova
 
Back
Top Bottom