Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Ali na Ali wa block T alikuwa tapeli aliyejifichia kwenye uganga, kawapiga Sana zambia, south africa, alikuwa anakutupia ugonjwa kisha anawatuma vijana wake wanafanya wawezavyo kuunga urafiki na ndugu au mtu wa karibu na mngonjwa Ili wakushawishi kuna mganga sehemu wakupeleke upate tiba. Ukienda anayatoa matakataka yake unakuwa mzima unampa pesa nyingi tu.
Staili zile za tapeli manyau nyau mganga brazamen aliye wapiga pesa wengi anafukia kitu kisha wanakuja kuagua kisha wanafukua chini kitu unatishika eti umelogwa unatoa pesa wanaishi mjini.
Staili zile za tapeli manyau nyau mganga brazamen aliye wapiga pesa wengi anafukia kitu kisha wanakuja kuagua kisha wanafukua chini kitu unatishika eti umelogwa unatoa pesa wanaishi mjini.