Si alikuwa mfadhili wa chadema au ccmAjali ya ndege,kwenye kutua hakulenga vizuri
Akapiga chini,ilikuwa usiku
Inasemekana alikuwa gembe
Ova
Sambeki alikuwa kama godfather wa wazee wa kaziSi alikuwa mfadhili wa chadema au ccm
Aise,huyo sikumpata maana mbeya nlikaa miaka 2 nkasepa ila nlishi blok TAli na Ali wa block T alikuwa tapeli aliyejifichia kwenye uganga, kawapiga Sana zambia, south africa, alikuwa anakutupia ugonjwa kisha anawatuma vijana wake wanafanya wawezavyo kuunga urafiki na ndugu au mtu wa karibu na mngonjwa Ili wakushawishi kuna mganga sehemu wakupeleke upate tiba. Ukienda anayatoa matakataka yake unakuwa mzima unampa pesa nyingi tu.
Staili zile za tapeli manyau nyau mganga brazamen aliye wapiga pesa wengi anafukia kitu kisha wanakuja kuagua kisha wanafukua chini kitu unatishika eti umelogwa unatoa pesa wanaishi mjini.
Nahisi alifyekwa na juliana wanapenda Sana papuchiAise,huyo sikumpata maana mbeya nlikaa miaka 2 nkasepa ila nlishi blok T
Ova
Sema laana ya jpm ndio kiboko,kapigwa covid moja mataa kameza ulimi,bladifakenLaana ya damu za watu.
Usicheze na machozi ya wajane na yatima.
Twitter.. sema umekuwa uzi mzuri na watu wameshusha nondo pengine Buyobe hazijui / kaziacha makusudi
Karma is a bitchHahaha naskia alijirusha gorofani
Huko Nai!
Kifo cha jamaa hawa mbona kama kuna ile chain fulani ilipukutika
Maana hata sambeki alikufa kiajabuajabu
Ova
Ili mlianzishe upya sio madai yenu Aluta ContinuaAise kumbe hii Chuga etuu ilikuwa ni kwere sana baba etu ..sisi machali wa juzi kati apo tu amna kitu tunaelewa asee ..inafaa kitabu kiandikwe kuelezea historia nzima ya chuga aise na ifundishwe mashuleni kabisa ile machali hawa wapya wa 2005 kiendelea waelewe ni wapi mji wao umetoka na ni wapi ulipo nna unapoelekea areef..!!?
Zama zimebadilika watapotea kizazi cha sasa sio kileIli mlianzishe upya sio madai yenu Aluta Continua
Ccm imegeuka 'sober house' ya hawa jamaa?Wengi wamekufa na waliopo wamekimbilia ccm na kwenye dini
Enzi za gewe dar alikuwepo jambaz mmja anaitwa "dar break"alisumbua sanaDamu za watu, machozi ya wajane na yatima majambazi huwa yanakufa vifo vya laana.
Kindei wa Esso huyo..Kuna george (kindei)huyu siku moja aliitwa na baba yake mdogo pale crocodile bar,baba yake akawa anajaribu kumuonya kuhusu vitendo vyake vya kihalifu,Kindei akamsikiliza mzee wake halafu mwisho akamwambia,poa mzee nimekusikia ila ndio umeshachelewa hivyo,mimi siyo tena yule wa zamani"
Baada ya kumwambia hivyo akainua koti lake refu akimuonyesha mzee "jembe" short gun imetulia hapo,mzee akatoka kama mkuki, mwingine aliitwa spider,huyu alikuwa malaika kimwonekano,ila ukikutana na majambazi wenzake wanamheshimu na kumwogopa kwa ukatili wake huyu aliuwawa kikatili kabisa
Alishindiliwa mkuki shingoni ukanasa kwenye tairi ya lori,mwingine alishindiliwa tumboni,akapitishwa katikati ya tairi mbili kubwa na kupigwa kiberiti,alibaki mguu mmoja tu na raba yake ya new balance,Kindei alitulazimu kuchangishana hela mtaa mzima ili kununua bunduki ambayo kweli ilikuja kufanikiwa kumuua,majizi yalikuwa mengi sana arusha enzi hizo,inshaallah sasa hivi tunaishi kwa amani.
Kule wanavizia tenda za upigajiCcm imegeuka 'sober house' ya hawa jamaa?
Ccm ni kichaka cha waarifuCcm imegeuka 'sober house' ya hawa jamaa?
Ccm ni kichaka cha waarifu
Akina zacharia, kitana,ngunguli bila shaka na zombe atakuwa kada