Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.

Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.

So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
 
Kama anaangalia job security aende governnment maana uko ukiingia ni mpaka ustaafu na hamna pressure za ajabu na pia kma ni kitengo kizuri atakua anapata ela za ziada, private ata kuna maslahi sidhani ni ya kudumu na uko boss siku kaamka vibaya au akimtongoza akagoma analimwa barua ya kuachishwa kazi au mkataba ukiisha apewi mwingine.
 
Mkuu wewe unafanya kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…