Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Nimejitahidi kutakankujuwa ni nini kinachontoa mtu wa jazi ya jawaida tu, kutoka kuajiriwa sekta binafsi na kuwa na wazo la kuajiriwa serikalini kwa mshahara mdogo zaidi.

Jibu nililopata ni hakuna zaidi ya wiizi tu unaomfikirisha kurlekea huko. Siyo siri, mijitu inaiba serikalini na inalindana.
Naskia wewe ndiye Samia mkuu
 
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.

Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.

So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
Kwanini aliomba huko serikalini kama yuko dilemma, mnabania ma jobless mkipata mnaleta mapozi
 
Ingekuwa analipwa huko private zaidi ya milioni tatu ningeshauri abaki huko private lakini kwa mshahara huo wa private aende serikalini kwa TGS D huyo ni mhasibu asiye na CPA hivyo aingie serikalini kisha baada ya miaka michache akasome CPA akishaipata hapo anaweza kupambana kuingia taasisi na agency za serikali zinazolipa vizuri mfano TRA ,,NSSF,,,TANROAD huko wahasibu wenye CPA wanalipwa vizuri
 
Hapo kuna bahati nasibu, niliowaacha private na salary kubwa nikaenda serikalini penye salary ndogo wanashangaa naishije wakati wao bado wanachechemea.

Kuna Vikao tulikua tunakaa posho kwa siku 1.5m na safari za hapa na pale...kwa mwezi natangeneza 7m...mshahara 556k
 
kikao posho 1.5m aiseee taasisi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom