To be honest pia huwa siamini katika the so called job security Bali in win win situation.....kuna bwana mmoja niliwahi kutana nae kaenda katika saili moja ya government ambako salary ni 1.2m na kaacha mkataba wa 2.8m, na communication allowance ya 70 kila week for the so called job security, nilimuacha na maisha yake ila nikapata jibu kwanini watu wa uchumi wa akina flani hawa makinda vijana vijana wanaokuwa kwa kasi katika uchumi hapa Tanzania ni wachache sana
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app