MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Hiyo ni mishahara ya viongozi ( LSS = Leaders salary scale ).Ukiingi humo kwenye LSS ndio kazi ya serikali inapoanza kuwa tamu
Kwa Halmashauri, hiyo ni mishahara ya Wakuu wa idara na vitengo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni mishahara ya viongozi ( LSS = Leaders salary scale ).Ukiingi humo kwenye LSS ndio kazi ya serikali inapoanza kuwa tamu
Aangalie mambo yafuatayo;Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.
Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.
So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
Mkuu unapafaham naliendele?? Hii ni Ruangwa eeeh au n nyingineSio hivyo kituo cha kwanza Cha kazi kinaweza kuwa Naliendele, hapo ndio sahau ndoa yako kidogo!! Hivyo inaweza kuwa neema ila kituo cha kazi ikawa pigo kwako
Chuo Cha utafiti kilimoMkuu unapafaham naliendele?? Hii ni Ruangwa eeeh au n nyingine
Ndio maana hata wewe mwenyewe huaminiki, tunashindwa kujua tukuamini kama SPIDER au NYOKAMimi siaminii hio job security sijui hua najiamini nini ila mimi na mikataba dam dam.
hiyo inajulikana kuwa ajira ni miaka 45, sasa unasameje kuhusu hii conditions ya kwaSerikali inaajiri mwisho miaka 45.
Kwasababu Ajira za serikali ni permanent and pensionable.
Na kisheria ili uwe na sifa za kupata pension lazima uchangie kwa miaka 15 ( miezi 180 ).
Ndio maana, Kama ukiajiriwa ukiwa na miaka 45, umri wa kustaafu kwa lazima ni miaka 60 Utakuwa umetumikia kwa miaka 15 then unakuwa una sifa ya kupata pension.
Inategemeana na baadhi ya kazi Wana target umri fulani.hiyo inajulikana kuwa ajira ni miaka 45, sasa unasameje kuhusu hii conditions ya kwa
Extra duty 60k per day, posho za vikao, posho za madokezo, per diem 150k...ukijumlisha vyote inazidi hio 1.6M inategemea tu ye ni profession gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wako, Halmashauri gani Zina Afadhali kiutumishiNa halmashauri aendako pia.
Kuna nyengine njaaa tu.
#YNWA
Alipoiomba kazi bila shaka alijuwa kwa nini aliiomba na huku akijuwa mshahara ni mdogo kuliko alipo sasa. Kitu cha kuangalia hapa ni: Upeo wa kazi ya sasa na hiyo ya serkali, yaani uwezekano wa kupanda na kupata mshahara mkubwa zaidi; security of employment, kama kazi ya private sdector ni ya mashaka, ambapo mkuu akiamka anaweza kukuambia kwaheri, inabidi atafakari. Je hiyo kazi ya private sector ina "scheme of service? Nguvu na uwezo wa hiyo kampuni kuwepo. Je, mabadiliko ya kiuchumi kitaifa na kidunia yanaweza kuwa na madhara gani na hiyo kampuni? Je kampuni imekaa kimchongomchongo yaani biashara au kazi zake zinategemea saana milango ya nyuma na God Father?Aah hiyo yote sababu ni job security ama? Kama anahitaji hivo aende serikalini ila mimi ningeendelea huko private ,tofauti ya mshahara ni 2times duh
Kwa uzoefu wako, Halmashauri gani Zina Afadhali kiutumishi
Alipoiomba kazi bila shaka alijuwa kwa nini aliiomba na huku akijuwa mshahara ni mdogo kuliko alipo sasa. Kitu cha kuangalia hapa ni: Upeo wa kazi ya sasa na hiyo ya serkali, yaani uwezekano wa kupanda na kupata mshahara mkubwa zaidi; security of employment, kama kazi ya private sdector ni ya mashaka, ambapo mkuu akiamka anaweza kukuambia kwaheri, inabidi atafakari. Je hiyo kazi ya private sector ina "scheme of service? Nguvu na uwezo wa hiyo kampuni kuwepo. Je, mabadiliko ya kiuchumi kitaifa na kidunia yanaweza kuwa na madhara gani na hiyo kampuni? Je kampuni imekaa kimchongomchongo yaani biashara au kazi zake zinategemea saana milango ya nyuma na God Father?
Acha uongo. Kwa nini asifungue genge huku akifanya kazi. Hiyo inalipa zaidi.Mwambie aache kazi afungue genge la nyanya. Inalipa sana
In other words you are not producing any tangible product. You are like a middle, waiting to be paid whenever you provide consultation.I wish them good luck, I haven't secured another job but I am an entrepreneur(providing market solutions to the farmers' crops). Thanks.
Alaf unakuta wewe uliajiriwa mpaka ulipostaafishwa na umri.
Sure.In other words you are not producing any tangible product. You are like a middle, waiting to be paid whenever you provide consultation.
Kila walipotawala wakoloni elimu yao na utawala wao ulilenga kutujaza fikra (brainwashed) kuwa watumwa wa kuutumikia utawala wa mfalme/malkia daima. Kwa bahati nzuri au mbaya, tumeurithi mfumo huo na tumeuendeleza kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru.
Tutaendelea kuwa watumwa daima kama hatujabadilika kifikra.
Well said, ila pia hata ukijiajiri uandikishaji vijana wa wajibu Kazi (kuajiri)
Kwahiyo ajira HAIEEPUKIKI.
#YNWA