Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Ivi izo THS huwa zina maana gani? Mfano TGS a, mara b mara C mara hiyo G kwanini ivyo na mshahara unakuwaje?
Hiyo hapo maana zake
JamiiForums-1196437392.jpg
 
Kila walipotawala wakoloni elimu yao na utawala wao ulilenga kutujaza fikra (brainwashed) kuwa watumwa wa kuutumikia utawala wa mfalme/malkia daima. Kwa bahati nzuri au mbaya, tumeurithi mfumo huo na tumeuendeleza kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru.

Tutaendelea kuwa watumwa daima kama hatujabadilika kifikra.
 
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.

Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.

So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
Asee aendelee kupokea hizo 1.6 asiziache mkuu
 
Ooh ukijua hivo ni nzuri ila usirelax private sector kuna surprises nyingi, siku wanaweza kumtoa mtu hivo hivo hata kama pengo lake lilikua halizibiki🤔
Ni kweli usemalo sema kwa baadhi ya kazi yani ili wakutoe lazima wapeleke mtu training kwanza otherwise wakukomoe wakuondoe alafu operations zisimame kwa muda
 
Kila walipotawala wakoloni elimu yao na utawala wao ulilenga kutujaza fikra (brainwashed) kuwa watumwa wa kuutumikia utawala wa nfalme/malkia daima. Kwa bahati nzuri au mbaya, tumeurithi mfumo huo na tumeundeleza kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru.

Tutaendelea kuwa watumwa daima kama hatujabadilika kifikra.
You have a point, ila nini kifanyike kubadili fikra?, ushauri wako ni upi kweli suala la mleta uzi?
 
Back
Top Bottom