Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Watoto wa mjini watakushauri abaki hapo hapo private eti kisa 1.6 ila anaweza kujikuta miaka kumi mshahara ndo huo huo na ndo hadi hiyo kampuni iwepo. Ila serikalini anapanda daraja, mikopo ya hapa na pale, security ndo usiseme, hata mshahara utapanda tu. Na hana pa kufukuziwa ni mwendo wa reshuffle tu.

Aende serikalini hatojutia.
 
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.

Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.

So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?

You should be able to advice you wife mwenyewe, ukishindwa :

  • Ndugu.
  • Marafiki.
  • Kiongozi wa dini....

Hivi huku mnafataga nini kwa vitu personal this much
 
Mwambie avae moyo wa makocha wetu. Na mwambie hakuna cha job security. Afanye kazi kwa umakini mkubwa ndipo atafanikiwa. Akienda huko kwa serikali kwa lengo la security; hiyo security inakwenda kumalaza jumla huku akisubiri kustaafu. Je anataka kwenda kujiandaa kustaafu?
 
You should be able to advice you wife mwenyewe, ukishindwa :

  • Ndugu.
  • Marafiki.
  • Kiongozi wa dini....

Hivi huku mnafataga nini kwa vitu personal this much
Kuna kiongozi wa dini anaefanya kazi serikalini?

Mume ana marafiki wafanya biashara kariakoo, ndugu unawajua wewe? Wengine wataona unawaringishia na watakupotosha. Kama wewe unaona jf sio sehemu sahihi ya kupata msaada basi kaa pembeni. Yeye atapata
 
Kama ni mhasibu aende serikalini kwa mwezi atapata hiyohiyo pesa naongea kwa experience huku serikalini pia kuna extra duty mfano taasisi nyengine extraduty ni siku 15 ambayo ni elf 60 per day jumla laki 9 sasa si yanakuwa yaleyale bado safari
Mhasibu serikalini anasafiri kwenda wapi na kufanya nini?
Mpeni ushauri wenye kujenga na sio kudanganyana.
 
Hiyo private kama ni kampuni inayoeleweka mfano TCC,vodacom, TBl na mengine ya aina hiyo simshauri aache sababu hayo hayafi leo wala kesho.
Ila kama ni hivi vijikampuni uchwara vya wachina ambavyo havieleweki kama ni vikampuni au viduka, atoke hapo haraka sana.
 
Back
Top Bottom