Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Naskia wewe ndiye Samia mkuu
 
Kwanini aliomba huko serikalini kama yuko dilemma, mnabania ma jobless mkipata mnaleta mapozi
 
Ingekuwa analipwa huko private zaidi ya milioni tatu ningeshauri abaki huko private lakini kwa mshahara huo wa private aende serikalini kwa TGS D huyo ni mhasibu asiye na CPA hivyo aingie serikalini kisha baada ya miaka michache akasome CPA akishaipata hapo anaweza kupambana kuingia taasisi na agency za serikali zinazolipa vizuri mfano TRA ,,NSSF,,,TANROAD huko wahasibu wenye CPA wanalipwa vizuri
 
Hapo kuna bahati nasibu, niliowaacha private na salary kubwa nikaenda serikalini penye salary ndogo wanashangaa naishije wakati wao bado wanachechemea.

Kuna Vikao tulikua tunakaa posho kwa siku 1.5m na safari za hapa na pale...kwa mwezi natangeneza 7m...mshahara 556k
 
kikao posho 1.5m aiseee taasisi gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…