mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Sasa hapo we unashindwa kujua ubahili ndo unakufanya usishibe, jana chakula kimepikwa kilo moja hukushiba, kesho ipikwe kilo moja unusu" "hujashiba pia siku inofata pika kilo mbili. Jifunze kujifichia mapungufu yako.Mimi ninachojua ukiwa baba nikuhakikisha familia inapata, chakula, mavazi, na makazi bora..... na thamani ya mke nikumpa heshima na watoto wako uwapeleke shule” iyo kukojolea mboga ni upuuzi baba gani sasa uyo?..