Aamua 'Kukojolea' Kitoweo (Mboga) baada ya Kunyimwa Ugali (Chakula) makusudi na wana Familia wake

Mimi ninachojua ukiwa baba nikuhakikisha familia inapata, chakula, mavazi, na makazi bora..... na thamani ya mke nikumpa heshima na watoto wako uwapeleke shule” iyo kukojolea mboga ni upuuzi baba gani sasa uyo?..
Sasa hapo we unashindwa kujua ubahili ndo unakufanya usishibe, jana chakula kimepikwa kilo moja hukushiba, kesho ipikwe kilo moja unusu" "hujashiba pia siku inofata pika kilo mbili. Jifunze kujifichia mapungufu yako.
 
Mimi kutokushiba nalo unaona ni upungufu??
Ubahili ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…