Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

Ndiyo tuone watu tunaowapa dhamana ya kutuongoza vile walivyo

Mwenzao mmoja pale Bungeni aliwahi kusema na wapigwe tu!

Yeye huyu anasema waziwazi kwamba watoto wa wengine na wauawe tu ila sio Mtoto wa Mfalme

Kwanini, Mtoto wa Mfalme yeye hajazaliwa kama walivyozaliwa watoto wetu 🙌
 
Yaa
Yaani Mungu tuu atusamehe, maana ndie ajuaye thamani yetu!
 
Akili zake zipo kwenye kamari huyu Tarimba. Hana hata aibu
 
Kwan huyo mtoto ana thamani zaidi kuliko hao watoto wengine waliouliwa
 
Maisha ni mafupi,lakini hayana budi yaende Kama Mungu alivyopanga sio kwa kujuana,Damu ya mtu Huwa Haina mmbadala!
 
Huyo alishatoa watoto wake kuwa kafara
 
Huyu aliwatoa kafara wanawe wawili hana utu kabisa huyu.
 
Mijitu kama kina Tarimba haioni hasara kutoa mitoto yao kafara sababu ya utajiri ndio maana hawana mantiki katika hoja za Gwajima.
 
Ukisikiliza vizuri Bunge zima la jana na waliojibu kuhusu press ya Gwaji boy utagundua kabisa kuwa watanzania tunafaa kulia sana kama wale ndio walioenda kutuwasilishia matatizo yetu ya kitaani pale mjengoni kwanza wameonesha hali ya kukosa Uwezo wa Kusikiliza(Listening Skills) kwa maana wao hoja zao walielewa Gwaji amemsema Raisi pamoja na Jeshi kumbe Gwaji ameongea Tofauti kabisa 2025 ndio hii Tufanyeni mabadiliko ikiwa wale ndio wabunge wetu tunatia aibu mtu toka Dunia ianze ajawai changia lolote ila leo hii anapata nguvu kusimama kumtetea Raisi katika hali ya kujidhalilisha ni Aibu kwetu na vizazi vyetu kwani Raisi ni nani kwenye hii Dunia ama anamamlaka gani kumfikia Mungu kusema ye ni bora kuzidi ama kama anakosea asielekezwe??🚮🚮
 
Niliandika uzi kuwa CCM izuie makada kutoa matamko ya kipuuzi hasa kumjibu Gwajima. Hii kauli ya Tarimba ni ya kipumbavu mno. WanaCCM tukumbuke Gwajima ni mwenzetu. Kupambana na mtu aliye ndani inahitaji TIMING kali na sio kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…