Pumbavu kenge wewe mporipori,Another fool, unafikiri dar tu ndo kuna ushuani? Ushamba mzigo,
Hata Mimi sijawahi kula miguu ya kuku na firigisi.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Wewe ni Dr. Mariposa!Hata mimi sijawahi kula miguu ya kuku wala kichwa chake, firigisi nakula kiasi sio mpenzi, sipendi kidari, kwenye kuku napenda paja na shingo,
Je, mimi ni nani?😄
Mimi sijawahi kufika Masaki!😂😂😂😂Mimi mwenyewe sipajui mburahati kunafananaje
Mie nikiona mchuzi au soup ina miguu ya kuku baasss hapo hata hamu ya kula inaniisha. Hivyo ikitokea nimeletewa kuku wa kienyeji ameshatengenezwa kukiwa na miguu ya kuku na kichwa natoa.Kinachokushangaza hapo ni kipi?
Kiumri, huyu ni binti mdogo sana, na kasoma nje ya nchi. Maana yake maeneo mengi ya mji huo wa Dar hajayafaham. Hivyo, ni kweli kutokana na mazingira aliyokulia.
Kuhusu kutokula miguu ya kuku; hilo ni jambo la kawaida kwa watu wanaotoka familia zenye kipato. Kama sisi kijijini kwetu mgeni hawezi kupakuliwa miguu ya kuku au mgongo wa kuku, vipi mtoto aliyezaliwa familia inayojiweza?
Jaribu kuacha negative perceptions kwenye kila jambo
Mie nipo zanzibar miaka telee na kina sehemu naziskia tu pasi na kuzijua.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Angeweka japo picha ili na sisi tumjue huyo mtu ndio nani huko Daslam?Huyo mtu kama The Icebreaker hamjui basi hata mimi simfahamu kabisa
Wewe sasa ndo umesema.Hey ndugu mshabiki, naomba niseme kitu kimoja ninachokiona Mimi.
Huyo binti anaweza akawa hayuko sahihi kama ambavyo hao wanamshambulia hawako sahihi na hata nyie watetezi wake pia hamko sahihi kwenye utetezi wenu.
Kwanza kabisa akiwa kama msanii anapaswa kujua watu(watanzania) wanaofuatilia Muziki wake ni watu wa aina gani kwanzia uelewa mpaka zao za kimaisha zikoje na vitu ambavyo mara nyingi vinawafanya kuwa hypersensitive.
Ni jambo ambalo liko wazi hakuna kitu ambacho kinamfanya mtanzania hasa wa Hali ya chini kutoa sensitive reaction kama pale anapohisi unamkebehi kuhusu Hali yake ya kimaisha( naomba unielewe hapa), mtanzania ukiongelea habari za kutokula baadhi ya vyakula ambavyo yeye ndio chakula Chake Cha Kila siku anahisi kama umemdharau sana).
Sasa huyo Abby champis sijui Abby champs kwa aina ya majibu anayotoaga ni obvious lazima wabongo wampopoe maana majibu yake Yana create negative feelings, sio kwamba wako sahihi lakini ndivyo jinsi walivyo.
Kwahiyo Sasa kuliko kuanza kujustify sijui ametoka familia ya kishua mara ooh kakulia nchi za nje inapaswa nyie washauri wake mumfundishe namna nzuri ya kujibu maswali ya aina hiyo yaani ajue kuingea nini na kwa wakati gani...
Mimi binafsi huwa simlaumu kutokana na umri wake. Na pia suala la yeye kukulia ushuani sio sababu ya msingi ya hicho anachokifanya maana yeye sio msanii wa kwanza kutoka familia ya kishua.
Mbona Navy Kenzo wanaotoka familia za kishua lakini hatujawahi kuona wakipopolewa na wabongo kama anavyopopolewa huyu Binti??? Kwani wao hawajaishi nje?
Jibu ni kwamba Envy Kezno wanajua kuishi na mtaa wakati huo huyo binti yenu hajajua kuishi na jamii ya kitanzania kwa namna inavyopaswa, na mbaya zaidi career yake Bado changa sana.
Mfahamishe tu kuwa hao Wala miguu ya kuku na firigisi wanaotoka Mburahati na maeneo mengine yenye hadhi ya Mburahati ndio mashabiki wakubwa wa Muziki wa bongo flavor na wao ndio wanaweza kuamua kupush Muziki wake au kumu hold back, hivyo haepuke kuwakwaza kwa namna yoyote ile hata bila kukusudia na pia vile vile ajifunze kiundani kuhusu uhalisia wa maisha ya watanzania wengi yakoje.
Wewe ni mfalmeHata mimi sijawahi kula miguu ya kuku wala kichwa chake, firigisi nakula kiasi sio mpenzi, sipendi kidari, kwenye kuku napenda paja na shingo,
Je, mimi ni nani?😄
Kuna nini cha kula kwenye kichwa cha kuku?Miguu na vichwa na utumbo wa kuku ni siku hizi tu ndiyo vimeanza kuuzwa.
Upanga imekuwa wilaya lini?sahihi mimi nilianza kula matembele nikiwa mkubwa kabisa.
Kigogo nimekuja kukujua nina watoto.
Temeke sijui mbagala nimefika nikiwa mkubwa kabisa chuo sijui.
Jamani kuna watu maisha yalikuwa ni wilaya ya kinondoni tu, tukienda wilaya nyingine ni Upanga.
Nini ajabu sasa ?
Lazima kwani kupajua Mburahati? Hapajui ndio!
lazima kula miguu ya kuku?hajawahi kula ndio!
Sahihi kabisa mkuu, naona hiyo management yake imejikita zaidi kwenye kudeal na kipaji Chake atoe Muziki mzuri tu basi, na Wala hawajali kabisa mahusiano na audience yake yako vipi.umemaliza mkuu, ni suala la huyo binti aelekezwe tu kitu gani cha kusema in public kwa hadhira yake ambao 99% ni watz. Management yake wawe proffesional, azingatie nini cha,kusema mbele ya media.
hao waandishi wanamuuliza maswalivya hivyo ili wapate content tu, but management iwe inawapa limitation ya maswali cas mashabiki watamchukia kwa kuona kama anawadharau.
Sehemu ikiwa ndani ya wilaya nyingine inaitwa jina la wilaya hiyo au jina la sehemu husika?Upanga imekuwa wilaya lini?