Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

Hawa ndo wale wakiwa hawana ISHU mnakuwa nao pamoja KWA stories za kufarijiana.

Wakipata ISHU Hata salamu take huipati. Wakifukuzwa kazi anaanza kujisalimisha kwako.

Ndo tabia ya HUYU mtoa mada
 
Naskia kuna mnywa whisk kupindukia huko giningi
#jamanikuchazangunazipenda
 
Mbona raisi alimpigia Nandy simu akiwa jukwaani
 
DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle.

Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza Kuchangia Mada za Masuala ya Mahusiano na mengineyo huku ukijisahau kuwa hivi sasa Wewe ni Mheshimiwa na Maadili hayakuruhusu hivyo.

Labda leo nikusaidie tu DC wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kwamba kwa Hadhi yako kwa sasa unachoweza kufanya ni kuwa Msikilizaji wa hicho Kipindi ( ambacho kilikuwa chako na Farhia ) kabla ya Uteuzi wako na kama Mada ikikugusa unaweza kutuma Meseji ya Kusalimia na Kupongeza kwa Kipindi kizuri itatosha sana.

Lakini kwa hiki ulichokifanya leo tena DC mzima tunayetegemea upo busy Kushughulika na Changamoto tena za Watu wa huko Mwanga kupiga Simu Saa 3 Radio One, Kuchekacheka, kupiga Stori na Kuchangia sidhani kama kina Afya kwa Wadhifa huo ulionao sasa.

Ulishakuwa Radio One na ITV na sasa ni Mkuu wa Wilaya hivyo tafadhali achana na ya huku na Jikite na Majukumu yako hayo mapya, makubwa na mazito na kama labda bado unapenda kuendelea Kutangaza basi andika Barua ya Kuachia ngazi kwa Mama ( Rais ) Samia ili akutoe na urejee Radio One katika hicho Kipindi chako uendelee Kubebishana na Rafiki yako Kipenzi wa Redioni Farhia Middle.

Nawajua Watangazaji wengi tu tena waliokuwa Wazuri kukuzidi katika Media zingine ila tokea Wateuliwe hawana muda tena wa kupoteza Kufuatilia Vipindi vyao bali sasa wamejikita zaidi katika Kuwatumikia Wananchi na kuwaletea Maendeleo yao.

Huyo Mtangazaji Farhia Middle ambaye ndiye anapenda na Kukulazimisha sana uwe unachangia katika hicho Kipindi kuwa nae makini kwani atakuponza kama vile Samson alivyoponzwa na Delilah na utakuja Siku moja Kunikumbuka Mimi Mightier wa hapa JamiiForums.

Ni matumaini yangu kuwa utanielewa DC wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kwa huu Ushauri wangu, ila kama kuna mahala nimekukwaza kwa huu Uwazi wangu Kwako naomba Radhi sana.
Jipige kifuwani huku ukisema 'hakika mimi ni mchawi kamili'
 
Angalau kapiga simu katika kipindi cha Mambo ya muhimu kama familia na maadili! Je Rai's anayepiga simu kwenye kipindi cha umbeya shilawadu unamuongelea aje?
 
usirudie kuvuta ma-kushabu mkuu...vuta zilizokamaa.....dc ni binadamu kama wengine kile kipindi kinahusu jamii...na jamii yenyewe ndio wewe mwaipaya na sasha......
 
Awe makini, yakimkuta asitafute mchawi.
 
Tambua hata mkuu wa nchi aliwahi kukiri kufuatilia shilawadu,,,,tena akawapigia simu kabisa live.
 
pumbaf sana nyie ndio wale mnaamini hata ukiwa Rais basi hata mambo mengine yanasimama including kunyanduana crap wewe
 
DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle.

Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza Kuchangia Mada za Masuala ya Mahusiano na mengineyo huku ukijisahau kuwa hivi sasa Wewe ni Mheshimiwa na Maadili hayakuruhusu hivyo.

Labda leo nikusaidie tu DC wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kwamba kwa Hadhi yako kwa sasa unachoweza kufanya ni kuwa Msikilizaji wa hicho Kipindi ( ambacho kilikuwa chako na Farhia ) kabla ya Uteuzi wako na kama Mada ikikugusa unaweza kutuma Meseji ya Kusalimia na Kupongeza kwa Kipindi kizuri itatosha sana.

Lakini kwa hiki ulichokifanya leo tena DC mzima tunayetegemea upo busy Kushughulika na Changamoto tena za Watu wa huko Mwanga kupiga Simu Saa 3 Radio One, Kuchekacheka, kupiga Stori na Kuchangia sidhani kama kina Afya kwa Wadhifa huo ulionao sasa.

Ulishakuwa Radio One na ITV na sasa ni Mkuu wa Wilaya hivyo tafadhali achana na ya huku na Jikite na Majukumu yako hayo mapya, makubwa na mazito na kama labda bado unapenda kuendelea Kutangaza basi andika Barua ya Kuachia ngazi kwa Mama ( Rais ) Samia ili akutoe na urejee Radio One katika hicho Kipindi chako uendelee Kubebishana na Rafiki yako Kipenzi wa Redioni Farhia Middle.

Nawajua Watangazaji wengi tu tena waliokuwa Wazuri kukuzidi katika Media zingine ila tokea Wateuliwe hawana muda tena wa kupoteza Kufuatilia Vipindi vyao bali sasa wamejikita zaidi katika Kuwatumikia Wananchi na kuwaletea Maendeleo yao.

Huyo Mtangazaji Farhia Middle ambaye ndiye anapenda na Kukulazimisha sana uwe unachangia katika hicho Kipindi kuwa nae makini kwani atakuponza kama vile Samson alivyoponzwa na Delilah na utakuja Siku moja Kunikumbuka Mimi Mightier wa hapa JamiiForums.

Ni matumaini yangu kuwa utanielewa DC wa Mwanga Abdallah Mwaipaya kwa huu Ushauri wangu, ila kama kuna mahala nimekukwaza kwa huu Uwazi wangu Kwako naomba Radhi sana.
Magu aliyekuwa akimpigia simu mnenguaji diamond jukwaani je
 
Mtu mweusi ana funza kichwani sio bure. Naamn ww n mmojawapo mwenye funza..tena sio mmoja wengi tu. Kuwa DC hakukufanyi uwe na tabaka katika jamii..nyie ndo wale mkiwa kwenye madaraka mnakuwa miungo watu, jinga kabisaa hii..kwan akipiga cm na kuchangia mada shida iko wapi? Kama hajamtusi mtu au haenda kinyume na jamii hakuna shida yyte. Usifikiri wengine ni malimbukeni kama ww na wenzako
Genta ni hasara kwa taifa,sijui kwa nini akuzaliwa mjusi
 
Kuacha ngono kwa kada mzoefu ni mtihani sheikh
 
Back
Top Bottom