Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

Popoma fulani ana ID tano ila mwandiko uleule na hajawahi andika point😀😀
Ila na Wewe pia hapa unatuchanganya na sasa tunaanza Kukuona huna Akili na huyo Jamaa Kakukaza sana halafu Kakuacha.

Hivi inaingia Akilini kweli yaani unazijua na Kuzifuatilia ID's zote za huyo Basha wako sijui genta na unajua Kwako huwa hana Point lakini bado tu huchoki Kumfuatilia

Huenda ukawa Unaugua Ugonjwa mkubwa sana wa Akili ( Uwendawazimu ) ila hujajigundua hivyo nakushauri wahi Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga ukaanze Matibabu yako haraka.

Cc: Mtumaini Mungu
 
Hana akili, anafikiri kwa kutumia masaburi zaidi.
Inaonyesha anawakazeni wengi mno na Kuwakuneni vizuri, kwani kuna ID's nyingi katika Uzi huu wa Mightier unamjadili Yeye tu badala ya Content iliyoko Kimjadala.
 
Mkuu wacha ukuda.

Kuwa serious na kazi haina maana ndio ukunje sura muda wote.

Mwaipaya yuko sahihi kwa alichokifanya so usimchagulie la kufanya.

Maisha ya sasaivi yanataka kujisocialize na kimbuka Mwaipaya sio mtangazaji bali kwa sasa ni mwanasiasa. Siasa haifanyiki bila ya watu ambao hao ndio wanaunda jamii.

Wewe uko serious ila mfumo haujakuona bali Mwaipaya mfumo umemtambua na umeona anafa.

Kuna mambo ambayo ni unethical lakini sio kuongea kwenye radio.

Mwaipaya kama kiongozi wa watu ametumia media kuelimisha jamii kwa nafasi yake, sasa wewe ndugu yangu unateswa na nni baba.

Ukiilewa dunia ya sasa wala hutopata taabu bali ukikomaa kama jiwe la porini utateseka kama unavyoteseka sasa.

Watu sasa hivi wanaangalia weledi wa kazi zaidi kuliko mbwembwe za kutaka kuitwa mkuu na kujitenga na jamii kisa madaraka.

Madaraka yanapita ila jamii haipiti.

Hongera mdogo wangu Mwaipaya, wewe ni kijana mfano mwenye kutenda kazi kwa weledi na hekima kubwa sana.

Kazi iendeleee!
Mleta uzi ni mtu pori, ana ushamba mwingi sana
 
Mtu mweusi ana funza kichwani sio bure. Naamn wewe ni mmojawapo mwenye funza tena sio mmoja wengi tu. Kuwa DC hakukufanyi uwe na tabaka katika jamii nyie ndio wale mkiwa kwenye madaraka mnakuwa miungo watu, jinga kabisaa hii..kwan akipiga simu na kuchangia mada shida iko wapi? Kama hajamtusi mtu au haenda kinyume na jamii hakuna shida yyte. Usifikiri wengine ni malimbukeni kama wewe na wenzako
Mkuu huyu mleta uzi anaweza kuwa caveman, hawakilishi kundi kubwa la watu weusi.
 
Usitake kufanya watu waishi kama maroboti...

Mtu akiwa kiongozi haina maana yeye kila anachofanya kiwe na mahusiano na majukumu yake ya kiuongozi...

Ingekuwa mbaya kama kapiga simu kuchangia mambo ya kijinga jinga
 
Thanks for the Credits Chief be blessed.
Kiukweli kuna somo LA ethics, huwa linawashinda watu wengi haswa wakiwa kwenye uongozi. Kiongozi kupiga simu ikawekwa kinaganaga hewani wengine tusiohusika tukasiakia ndo madhara yalomkuta Chalamila miaka kadhaa baadaye!
 
Kiukweli kuna somo LA ethics, huwa linawashinda watu wengi haswa wakiwa kwenye uongozi. Kiongozi kupiga simu ikawekwa kinaganaga hewani wengine tusiohusika tukasiakia ndo madhara yalomkuta Chalamila miaka kadhaa baadaye!
Nashukuru sana Kueleweka vyema na Watu Smart Upstairs kama Wewe kuliko Fools wengi waliojitokeza Kuchangia kwa Kukurupuka na Mhemko hapa.
 
Tuache nidhamu ya uwoga,vyeo vipo tu vinakuja na kuondoka.Ishi maisha yako unayoyaona yako sahihi.
 
Back
Top Bottom