Uchaguzi 2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?

Nondo.jpg
 
Zitto anajua kuseti mipango. Anajua vizuri hatashindana na CCM bali mkurugenzi na ffu!

Ameamua kuwapanga vijana wake nchi nzima wamsakie "asilimia ya kura za urais" ili apate ruzuku na hatimaye aweze kujilipa mshahara mzuri akisubiria baba jeska asitaafu ndipo aanze harakati tena
 
Zitto anajua kuseti mipango. Anajua vzr hatashindana na ccm bali mkurugenzi na ffu!

Agombee Kasulu/Kigoma kusini(Uvinza) ,Kigoma mjini kote huko atapita ,labda anataka kupanua wigo wa wabunge Kigoma kupitia chama chake.Maana Kigoma mjini uhakika wakupita anao labda wafanye figisu zakiwango cha lami.
 
ZZK atagombea urais kupitia ACT
P
Uraisi atagombea Membe, na hii itapelekea viti vingi vya ubunge huko kusini kuhamia ACT ,hasa vilivyokuwa CUF. Ndio maana Zitto anang'ang'ania Membe .Akikusanya viti vya Pemba,akakusanya vya kusini,akakusanya vya Kigoma hata viwili/vitatu atakuwa kapiga hatua na ruzuku itaongezeka, naona mwaka huu Zitto yupo kimkakati zaidi wakukuza chama. Lakini yote hayo yatatokea kama tume ikijaribu kufanya fair japo kidogo.
 
Zitto anajua kuseti mipango. Anajua vzr hatashindana na ccm bali mkurugenzi na ffu!

Ameamua kuwapanga vijana wake nchi nzima wamsakie "asilimia ya kura za urais" ili apate ruzuku na hatimaye aweze kujilipa mshahara mzuri akisubiria baba jeska asitaafu ndipo aanze harakati tena
Duh!..
 
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
Kila heri kijana, vijana wa kariba kama yako, wenye hoja pevu na umahiri ktk kufanya siasa, ndio haswa wanahitajika bungeni.
 
Ni jambo jema,CCM lazima wabanwe mbavu kila kona na upinzani,Kila jimbo wawekwe watu wenye ushawishi.
 
Back
Top Bottom