Uchaguzi 2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

Nani alikwambia uchaguzi unahitaji kujenga hoja?!
Ingekuwa kujenga hoja kunamfanya mtu ashinde sidhani kama Magufuli angekuwa mbunge, achilia mbali urais.
Na kama hujui kujenga hoja utaishia kupiga push up kwenye majukwaa.jiwe kapita kwa nguvu za jk na mkapa yeye mwenyewe asingeweza mziki ule.
Dogo nondo yupo vizuri kwa kila kitu.uki wasimamisha hao wawili hata kiutendaji levo hafikii kwa nondo.
 
Magufuli hakushinda, alitangazwa mshindi.
 
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
Anagombea urais
 
Nani alikwambia uchaguzi unahitaji kujenga hoja?!
Ingekuwa kujenga hoja kunamfanya mtu ashinde sidhani kama Magufuli angekuwa mbunge, achilia mbali urais.
Na kama hujui kujenga hoja utaishia kupiga push up kwenye majukwaa.jiwe kapita kwa nguvu za jk na mkapa yeye mwenyewe asingeweza mziki ule.
Dogo nondo yupo vizuri kwa kila kitu.uki wasimamisha hao wawili hata kiutendaji levo hafikii kwa nondo.
 
Agombee Kasulu/Kigoma kusini(Uvinza) ,Kigoma mjini kote huko atapita ,labda anataka kupanua wigo wa wabunge Kigoma kupitia chama chake.Maana Kigoma mjini uhakika wakupita anao labda wafanye figisu zakiwango cha lami.
Kwanini asigombee ubungo au Kibamba?
 
Zitto anagombea uraisi this time. Sema hataki kuweka wazi anasubiri pia fursa ya mtu kujitokeza. Lengo lao ni kukuza ruzuku waendelee kula bata.
 
Agombee Kasulu/Kigoma kusini(Uvinza) ,Kigoma mjini kote huko atapita ,labda anataka kupanua wigo wa wabunge Kigoma kupitia chama chake.Maana Kigoma mjini uhakika wakupita anao labda wafanye figisu zakiwango cha lami.
Zitto hapiti, kigoma mjin inarud ccm
 
Zitto hapiti, kigoma mjin inarud ccm
~ kwa mgombea gani?
Labda angekuwepo mgombea mtoto wa mjini kati au ujiji,ila sio kwa waziri mkaa...labda aende kasulu Kwao.
 
Bado kijana. Ajipange tu vizuri. Urais utakuja siku moja kama atajipanga.
Uraisi atagombea Membe, na hii itapelekea viti vingi vya ubunge huko kusini kuhamia ACT ,hasa vilivyokuwa CUF. Ndio maana Zitto anang'ang'ania Membe .Akikusanya viti vya Pemba,akakusanya vya kusini,akakusanya vya Kigoma hata viwili/vitatu atakuwa kapiga hatua na ruzuku itaongezeka, naona mwaka huu Zitto yupo kimkakati zaidi wakukuza chama. Lakini yote hayo yatatokea kama tume ikijaribu kufanya fair japo kidogo.
 
Abdul Nondo yupo makini sana, Anajua kupanga hoja, akiongea unasikia kila neno analotamka na hapayuki kama poyoyo.
 
Back
Top Bottom