Uchaguzi 2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

Kwahio mkuu bila tume huru hakuna mbunge wa upinzani atakaepita(CDM,ACT)?.
Kuna uwezekano mkubwa sana hilo kutokea, mfumo uliotumika mwaka jana unaweza kutumika na mwaka huu pia. Watanzania kupànga mistari kupiga kura itakuwa ni ujinga uliyoiva kisawasawa.
 
Wanapoteza Muda Tu hao, Labda iwepo tume Huru ya Uchaguzi
"Ng'ombe atachinjwa kwa namna yoyote atakayolala chini."

Nakumbuka msemo huu niliuona humu humu JF hivi karibuni.

Ni maneno yanayotia matumaini, kama yatatekelezwa ipasavyo.
 
Uraisi atagombea Membe, na hii itapelekea viti vingi vya ubunge huko kusini kuhamia ACT ,hasa vilivyokuwa CUF. Ndio maana Zitto anang'ang'ania Membe .Akikusanya viti vya Pemba,akakusanya vya kusini,akakusanya vya Kigoma hata viwili/vitatu atakuwa kapiga hatua na ruzuku itaongezeka, naona mwaka huu Zitto yupo kimkakati zaidi wakukuza chama. Lakini yote hayo yatatokea kama tume ikijaribu kufanya fair japo kidogo.
Hapo ndipo mnapokosea kuhusu Tume.

Kila mara ni kama mnaomba hisani kutoka kwao? Kwa nini?

Nisiandike mengi kuhusu hili kwa sababu umeandika vizuri sana hayo mengine yote huko juu. Umeharibu tu hapo kwenye tume. Ondoa 'mentality' hiyo ya kitumwa, na mambo yatakwenda vizuri.
 
Zitto anajua kuseti mipango. Anajua vizuri hatashindana na CCM bali mkurugenzi na ffu!

Ameamua kuwapanga vijana wake nchi nzima wamsakie "asilimia ya kura za urais" ili apate ruzuku na hatimaye aweze kujilipa mshahara mzuri akisubiria baba jeska asitaafu ndipo aanze harakati tena
Jamaa yupo makini mno, watu hawamjui kihivyo..
 
Back
Top Bottom