Uchaguzi 2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

Hata chato?
Chato hata Geita mgombea yeyote asiye Musukuma atashinda kwa urahisi maana Wasukuma wamechoka na usanii unaofanywa Kanda ya Ziwa. Sifiasifia na kuunga mkono tunaosikia kila siku toka sehemu mbalimbali nchini huwezi kusikia toka Geita au Chato labda toka kwa watafuta teuzi kama wakina Pascal Mayalla ambaye naye sasa haumi wala kupuliza baada ya kurudishiwa Press Card yake. Njaa haina adabu!
 
Nondo anataka ubunge kwani wale makaburu aka "wazalendo uchwara" walishamrudishia uraia wake!?
 
Safi sn.......dogo wampe ubunge anafaa awatumikie wanakigoma...
 
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
Nimepata taarifa kuwa Zitto anagombea uraisi
 
ACT haijulikani popote zaidi ya kigoma,hiyo asilimia tano ya kura ataipata Gungu?
 

Baadaye ikiffanya FEA msije mkasema POLICMM ni sehemu ya ZITTTO..
 
Kwa hiyo makamanda mmebaki kushadadia ACT-Wazalendo hadi mnasahau yanayoendelea huko ufipa?
 
Ni jambo jema,CCM lazima wabanwe mbavu kila kona na upinzani,Kila jimbo wawekwe watu wenye ushawishi.
Watakatwa wote hao, kama walivyokatwa kwenye serikali za mitaa. Kama wagombea wao wa serikali za mitaa walikatwa, wao madiwani na wabunge ni akina nani hadi wasikatwe, kwani wale wakataji wamestaafu? Watakatwa madiwani na wabunge wote , baada ya tarehe 5 August mtajionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…