Uraisi atagombea Membe, na hii itapelekea viti vingi vya ubunge huko kusini kuhamia ACT ,hasa vilivyokuwa CUF. Ndio maana Zitto anang'ang'ania Membe .Akikusanya viti vya Pemba,akakusanya vya kusini,akakusanya vya Kigoma hata viwili/vitatu atakuwa kapiga hatua na ruzuku itaongezeka, naona mwaka huu Zitto yupo kimkakati zaidi wakukuza chama. Lakini yote hayo yatatokea kama tume ikijaribu kufanya fair japo kidogo.