Pre GE2025 Abduli has put a sword on a centre that united them, the centre no longer hold. Things fall apart

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimekuuliza swali jepesi umeshindwa kujibu. Ni lini CHADEMA imeshirikiana na CCM kuwakandamiza wananchi?. Mbona swali jepesi. Mengine ni uongo na unafiki.
Haijawahi kuingia akilini mwangu hata siku moja, kwamba wewe utatafuta chochote kwangu. Sasa unataka kweli nianze kujibishana nawe juu ya jambo kama hili?
Unataka tuanze mjadala upi hapa, hebu nieleze?

Hilo ulilo weka hapo kweli ni swali unalong'ang'ania mimi nilijibu?
 
I think we should deal with those rat/prostitutes whose easy to be manipulated… ! Abdul don force them to take his money….is their consent!
The law says the contrary!
 
Ccm chama changu kimeona mgombea walienae hauziki Wala Hana mvuto wanataka kumshindisha kwa:-

Kufarakanisha upinzani!Ili kugawa kura zao

Kuwanyima wapiga kura walioumizwa na utawala huu kutopiga kura kwa kutoboresha taarifa zao kwenye daftari la tume ya uchaguzi!!!

thestate naaminj mpo kazini liokoeni taifa dhidi ya wabadhirifu na Wala rushwa!
Hao "thestate" unao walilia wewe kama kweli wapo, na hawayaoni yote haya watakuwa ni chombo cha hovyo kabisa!
Lakini kumbuka, hao nao si ni binaadam tu, ambao kilainishi cha Abduli nao kinawafikia? Hao walioshikilia uongozi wa chombo hicho, kwani wametokea wapi, si ni wateuliwa tu!

Geuza macho yako na watazame wenye mamlaka yasiyoweza kununuliwa - Wananchi wenyewe.
 
Chadema wengi wamepewa rushwa kati ya million 500 hadi billion 10.Mbowe ndo kapewa billion 10
Mbona huyo mtajwa mtoa rushwa hamumkebehi, kumdharau na kumjadili kwa kutoa rushwa? Mnawajadili tu Chadema kwahiyo hii hali imekaa vizuri? Nilitegemea na mtajwa wa kupeleka rushwa mngemshambulia Kwa maneno kama mnavyoishambulia Chadema. Au kutoa rushwa ni halali? Kama siyo halali mtoa rushwa mnamuogopa?
 
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

View attachment 3065586
Huko

Waambie wamalize matatizo yao kwanza huko CCM,wanawekeana maji ya betri kwenye chai
 
Unapochekelea huu msiba, usisahau kuwa hiyo unayofuraia kama “hela ya Abduli” ni pesa za umma toka Hazina. Zinachotwa kupitia paymaster general wa serikali na kutumika na kundi familia lililojimilikisha rasilimali ya taifa.

CHADEMA ikisambaratika athari yake ni ndogo sana kwa taifa. Hicho ni kikundi kidogo tu cha watu waliohiyari kupambana dhidi ya uovu wa dola. Hawana hatimiliki ya UPINZANI. Wala hawawajibiki kwa Mtanzania yeyote katika harakati zao. Anyone can join them or quit anytime.

CHADEMA ikifa, kazi ya upinzani itaendelea kupitia wadau wenye nia ya dhati. Wako wengi tu hata ndani ya CCM. Upinzani ni dhana ya kudumu.

Lakini hujuma kwa pesa ya umma inazidi kulididimiza taifa kwenye umasikini uliokithiri na kuimarisha utawala katili wa kiimla. Your choice to celebrate.
 
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

View attachment 3065586
"mugambo wanaruka na kukanyagana,wote wamesimama wanaruka KINYAMA!..MUGAMBO wanaruka na KUKANYAGANA _'hii" .."Wanacheeka!'
 
siku mkija kutambua kwamba tundu lisu is the biggest conman ever lived hapa tanzagiza ndiyo mtajikomboa, huyo jamaa sijui kawapa nini hata kuhoji tu ujinga anaowatapikia kila siku hamuwezi, anasema sijui abduli kaja sebuleni kwake, aliingiaje? nani alimkaribisha? nani alimpa appointment na kwa nini? i mean, tundu lisu is a loose cannon na pathological liar na kete yake kubwa ni wafuasi wake ambao ameweza kuwa manipulate na kuwalisha uongo kwa miaka, wafuasi wanaamini kabisa kwamba ni saint wakati tundu lisu ni …
Mkuu sio kila kingaacho ni dhahabu.
Lakini Lissu anaweza kweli kuwa conman?Mtu aliyeteseka na kutiwa kolokoloni mara kadhaa na kumiminiwa risasi kibao kwa sababu tu ya msimamo wake.
Yote ni maisha.
 
Mbona hao waliochukua pesa hamuwataji?
Mnaogopa Nini kumtaja traitor/snitch/mla rushwa. Hii inaonyesha Kuna umbea mwingi.
Lakini pia mbona ACT, CUF , UPDP na TADEA haviongelewi humu?
WHY ALWAYS CHADEMA?
Halafu mtu anasema chadema sio chama kikuu Cha upinzani.
 
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya chama wamechukua na wewe chukua, hii ni hatari sana.

CCM wametumia technic ya kimafia sana, imewapa njaa makamanda, kisha inapenyeza "asali" kwa wachache. Basi makamanda mtifuano mtindo mmoja.

Wachache ambao ni waadilifu kama Lissu wanaanza kuonekana maadui maana wao wanamaanisha katika kuwakomboa watanzania dhidi ya uongozi mbovu wa CCM, kumbe wenzake wapo kimchongo zaidi ndani ya Chadema.

Halafu kuna watu wanasema eti Lissu anyamaze, akayaongelee "chumbani". Mnataka ubakaji wa haki uongelewe sirini?.

Msikilize Lissu hapa akieleza namna kiongozi mwandamizi ndani ya Chadema alivyotaka Lissu naye ale rushwa!.

Tena kumbe huko Chadema kuna Listi ya waliokula hela ya Abduli. Hatari sana hii!

View attachment 3065586
Ila muwe makini sana na lisu.
Huyo Abdul ni nani???
Huo ndo mtego aloweka lisu
 
Chadema nakifahamu vizuri tu.

Ndio maana miaka yote sijawahi kupoteza muda wangu kujishughulisha nao.
 
Chadema wengi wamepewa rushwa kati ya million 500 hadi billion 10.Mbowe ndo kapewa billion 10
Amepewa 10B kuyoka wapi na kwa ajili ya nini hasa? Unajisemea tu kama mtoto mdogo. Unazijua 10B wewe? Chama kimeshajifia alafu kiongozi apewa pesa zote hizo kwa ajili ya nini hasa? Kwa influence gani ambayo mbowe anayo mtaani?
 
Back
Top Bottom