Pre GE2025 Abduli has put a sword on a centre that united them, the centre no longer hold. Things fall apart

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii yote ni sababu ya failure ya leadership ya Mbowe.
Chama kimetohumiwa rushwa na Mwenyekiti hatoi kauli hata ya kusema kuwa kinafanya uchunguzi wa ndani au kuikaribisha TAKUKURU ichunguze madai hayo.
Kama Chama kiko kimya kwenye hili maana yake chama kinakiri kuwa kweli kuna waliohongwa na CCM na kinawakingia kifua!
 
Chadema kitakaa sawa siku Mbowe akipumzika. uenyekiti. Naimani na Lissu na Heche. Hawa shemeji zetu wangejikita kwenye biashara tu, waongeze mapato ya serikali Kwa kulipa kodi.
 

Hizo ni propaganda tu za kisiasa, yaani CCM ihonge au itoe fedha kwa CHADEMA ndio ishinde? Haa haa huo uongo

BTW, Who is Lissu? Yuda Iskariote, alimsaliti Yesu kwa vipande vya fedha, with regard to that, who is Lissu? Kuwa Lissu ni mtakatifu sana au? Mbona fedha za wazungu wanachukua sana Chadema na Lissu anazitumia sana hizo sio fedha?

So hizo ni propaganda tu za CHADEMA, kuchafuana tu, CCM wala haihitaji etu kuhonga CHADEMA ili ishinde, hizi ni propaganda tu
 
Kuwa na heshima jiheshimu pia.Mlete mama yako nimvue chupi kwanza aenjoy sawa ee
Wewe si ndio unayetaka kusaidiwa!
Wewe mwenyewe hujiwezi mpaka unajiita Tamu!.Unaomba Hela bila uoga!
Mtoto mwenyewe tamtam,
Huyo Mama yangu alivyokuwa Shangingi utamuweza?
Pambana na hali yako.
 
Double agents.
Mbawa ya kulia na mbawa ya kushoto zote ni Mali ya ndege mmoja.
 
Asante kwa hili Mkuu

Huwa tunasema sana hakuna upinzani Tz tunapewa majina stupid mnafiki..

Huwa hamjiulizi huyo wanamuita mwamba ni wale wale.

Kuna mengi hatujui tunajifariji eti tuvushe mwamba laiti tungejua

Upinzani ni biashara za wafanyabiashara na machawa wao..

Lissu Mungu akutunze sana
 
Chadema wengi wamepewa rushwa kati ya million 500 hadi billion 10.Mbowe ndo kapewa billion 10
Mbowe kapewa bilioni 10 ili afanyeje, asigombee Urais ????

Lissu na yeye, Abduli alimwomba nini, mbona hasemi ????

Nini ambacho CHADEMA wameshikilia serikali hii inakitaka inashindwa kukipata ?????????
 
Chadema niliwaambia kuwa wasifurahie kifo cha JPM bila ya kujua kuna nini kipo nyuma yake ..niliwaambia kama kifo kina mkono wa mtu basi hali zao za sasa zitakuwa mbaya kuliko za kipindi cha jpm wakanitukana na kuniona mimi ni mpumbavu kama wao ....chandema kimeshindwa kugundua
1)nini maana ya kifo cha magufuli kikiwa na mkono wa mtu.
2)nini maana ya state capture .
3) nini maana ya raia feki kushika hatamu.
 
Mwandiko huu hapa ni mzuri sana.
Nimeusoma kwa makini, na kuanza kuwa na mashaka kidogo na nilivyo dhani ninakujuwa kutokana na tuliyo kwisha jadili kati yetu humu.

Lakini pia, nadhani huyo uliye mjibu, mleta mada na yeye hukumuelewa vyema katika andiko hilo ulilojibu.
Huyo siyo mtu wa kusherehekea kama unavyo hitimisha., na sioni popote katika andiko lake anako sherehekea kusambaratika kwa CHADEMA.

Mwisho, napenda kutofautiana nawe kwenye hiyo dhana ya "wapinzani kutokuwa na wajibu kwa yeyote" Hii ni dhana potofu kabisa. Mtu anapo amua kuingia kwenye siasa, maana yake ni kuwa mtu huyo ameamua kuwajibika kwa watu atakaokuwa anawasemea katika kazi yake hiyo. Vyama vya upinzani, kama ilivyo CCM, wanao wajibu kwa wananchi, na vyama hivyo ni vya wananchi walio amua kuwa wananchama na wapenzi wa vyama hivyo. Hivi vyama vya siasa, haviendeshwi kwa gharama za hao walio vianzisha. Kwa namna moja au nyingine wote wanategemea ruzuku, au michango ya wananchi.

Nirudi nilipo anzia. Pamoja na hayo niliyoeleza hapa ya kutokubaliana na dhana uliyo wasilisha; lakini maudhui ya uliyo andika kwa ujumla, yamenifanya niingiwe na shaka juu ya nilivyo dhani najuwa unayo amini kisiasa.
 
Sijasema hivyo (hapo kwenye bold, red). Umeandika kitu tofauti kabisa na nikichoandika. UMEJIPOTOSHA. SOMA TENA.
 
Wala hawawajibiki kwa Mtanzania yeyote katika harakati zao
Pengine uelewa wangu wa maneno haya hapa ndiko kuliko nifanya niandike niliyo andika hapo.
Sijasema hivyo (hapo kwenye bold, red). Umeandika kitu tofauti kabisa na nikichoandika. UMEJIPOTOSHA. SOMA TENA.
Unaweza kufafanua ulikuwa na maana gani hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…