ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri
1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet
Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania
Sasa Abduli alienda kama nani ? Waziri wa nishati? Waziri mkuu?
2. Anatuhumiwa na Lissu ati anatembeza mahela ya kuhonga CHADEMA
Kama anawahonga ni Kwa ajili ya nini? Anahonga kama nani?
Kwanini ahonge yaani Rushwa ambalo ni jinai, kwanini TAKUKURU hawamkamati kumhoji?
3 Dp world inasemakana ndo aliwashawishi na kuwaleta
Huyu Abduli ana status Gani ndani ya serikali?