Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

Ni wakati wake.. Alikuwepo Ritz moko mpaka akatungiwa wimbo
Hivi inakuwaje mzazi anaweza kua na watoto wengi tu lakini kati ya hao wengi ni mmoja tu aka shine sana kuliko ndg zake ,mfano Abdul au Rizi moko!!
 
Very common unless wewe ni katoto kadogo
 
Hivi inakuwaje mzazi anaweza kua na watoto wengi tu lakini kati ya hao wengi ni mmoja tu aka shine sana kuliko ndg zake ,mfano Abdul au Rizi moko!!
Jambo la kawaida
 
Back
Top Bottom