Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuza madafu mahiriNi nani huko dasalamu
Museven alisema jamaa ni business man na alikwenda kuongea businessNa Rais Mseveni alidanganya
Alikua agenda yaoata rizi unk alikua maarufu kipindi cha mzee jaka yaaaH
Mseveni alisema aliwakilisha serikali ya Tanzania na wakaingia mkataba ya mafutaMuseven alisema jamaa ni business man na alikwenda kuongea business
Mfanyabishara hazuiwi kukutana na mtu yeyote
Hata mtoto wa mbowe anamiliki companies ingawaje nyingine zinamshinda
Please share the linkMseveni alisema aliwakilisha serikali ya Tanzania na wakaingia mkataba ya mafuta
Lete link we mzeeNenda X kwenye page ya Rais Mseveni
una utan ww, wakuu wa wilaya alikuwa anapanga rizimokoAbduli amezidi
rais wa nchi gani?Nahisi labda unapokuwa raisi Kuna mambo mengine unakuwa haumuamini mtu yeyote zaidi ya mtoto wako
Share link or else Acha uzushiNakupuuza wewe
Unashindwa kuingia X ukatazama post za Rais Mseveni