Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

Mnavunja rekodi kukusanya mapato kutoka kwa wananchi wengi walio hoi bin taabani kiuchumi, halafu sehemu kubwa ya hayo mapato mnalipana mishahara minono nyinyi mliopo nafasi za juu, mnaenda kununulia ndege zinazozalisha hasara kila mwaka, mnaenda kununulia magari ya kifahari kwa makada wenu wakuu wa wilaya, nk.

Mambo ya kushangaza sana haya.
 
Value for money kwenye jambo gani specifically?
Kodi wanazotoa; sababu kinachokusanywa ni kutoka kwenye Kodi zao.., Sasa kama ugumu wa maisha bado upo juu, mfumuko wa bei, kipindi awamu hii tumekuwa gizani (mgao wa umeme) sasa hapo mlipa Kodi kama hajawa short changed ni nini ?

Kuna faida gani ya kukusanya mapato makubwa kama hayo makusanyo hayana msaada kwa mtoa Tozo....

Kuvuja huku kwa Pakacha hakuna nafuu yoyote kwa Mchukuzi....
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana kimesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kuumizwa, kushurutishwa au kuporwa fedha zao.

Akizungumza leo Aprili 17, 2024 katika kikao kazi cha wanachama wa CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara, Kinana amesema chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia nchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko awamu nyingine zilizopita.

"Kwa nini tusitoe pongezi kwa Rais Samia? Amefanya kazi nzuri, anajitoa, anajituma na kubwa amekuwa kiongozi wa mfano anaongoza nchi yetu vizuri na maendeleo yanapatikana kila mahali na Musoma hapa ni mashahidi," alisema.
 
Kwani ilikuwa ni serikali iliyoongozwa na chama gani iliyoumiza, kupora, kukwiba na kutisha watu hapo awali?
 
Mwanzo walikuwa wanatumia hizo kauli wakidhani wananchi wanataka kusikia, imebuma.

Sasa hivi wanatumia hizo kauli ili wapate kujadiliwa wao, anadhurura huko hakuna anaejali; kaona ili ziara yake ipate kiki aje na kauli tata.

Past his due date hana maajabu tena kwa watanzania, labda huko ndani ya CCM ndio mtu wa maana.
 
View attachment 2967817

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana kimesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kuumizwa, kushurutishwa au kuporwa fedha zao.

Akizungumza leo Aprili 17, 2024 katika kikao kazi cha wanachama wa CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara, Kinana amesema chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia nchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko awamu nyingine zilizopita.

"Kwa nini tusitoe pongezi kwa Rais Samia? Amefanya kazi nzuri, anajitoa, anajituma na kubwa amekuwa kiongozi wa mfano anaongoza nchi yetu vizuri na maendeleo yanapatikana kila mahali na Musoma hapa ni mashahidi," alisema.
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Aibu sn
 
Kinana acha utapeli,, HOSPITAL YA MWL NYERERE hapo musoma imemaliziwa kujengwa na MAGUFULI japo msingi wa jengo lake ulijengwa kipindi Cha NYERERE, pia ni wkt wa MAGUFULI ndio ulijengwa mradi mkubwa wa maji hapo musoma mjini na kumaliza kero ya maji, ata ujenzi wa barabara za lami hapo mjini zimeimarishwa wkt wa mwenda zake,, mama kafanya nini Cha maana hapo musoma???!,SAMIA ktk ziara yake musoma aliombwa na wazee wa musoma kuimarisha bandari ya musoma ktk ziwa Victoria inayounga musoma na nchi ya Uganda na Kenya halijafanyika, barabara ya musoma hadi majita zaidi ya miaka 6 inajengwa Bila kukamilika, ujenzi wa barabara inayounga musoma- Arusha nayo inasuasua ,ujenzi wa standi kuu ya zerozero nao imekua changamoto,standi ambayo ingeongeza mapato serikalini ikizingatiwa Mkoa wa Mara unapakana na nchi za Kenya na Uganda, Huyo MBUNGE unaemsema MATHAYO na mwenyekiti wake Gumbu wote wezi tu, MATHAYO ni mpiga dili za manispaa na mkwepaji mkubwa wa ushuru wa serikali kupitia kituo chake Cha uuzaji wa mafuta hapo musoma mjini, Gumbo(mwenyekiti wa halm)alifukuzwa jeshini Kwa kashifa za wizi..kinana acha umbea umezeeka fanya kazi sio kuongea Umbea, Muda ukifika utaamua.
 
Hayo mapato makubwa yanaishia matumboni mwenu.....huku wananchi wakiteseka na huduma ya afya ambayo ni mbovu na ghali
 
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
Samia hawezi fanana na wajamaa wasiojielewa
 
View attachment 2967817

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana kimesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kuumizwa, kushurutishwa au kuporwa fedha zao.

Akizungumza leo Aprili 17, 2024 katika kikao kazi cha wanachama wa CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara, Kinana amesema chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia nchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko awamu nyingine zilizopita.

"Kwa nini tusitoe pongezi kwa Rais Samia? Amefanya kazi nzuri, anajitoa, anajituma na kubwa amekuwa kiongozi wa mfano anaongoza nchi yetu vizuri na maendeleo yanapatikana kila mahali na Musoma hapa ni mashahidi," alisema.
Sasa mbona nauli imepanda?
Mbona mafuta yamepanda?
Mbona Rais ana lalamika wafanyabiashara kukwepa kodi?
Mbona mafuta yamepata maradufu?
Mbona hela hakuna mtaani?
Mbona hakuna dolla mtaani?
 
Mods unganisha huu Uzi,upo mwingine wa hivi
 
Sasa mbona nauli imepanda?
Mbona mafuta yamepanda?
Mbona Rais ana lalamika wafanyabiashara kukwepa kodi?
Mbona mafuta yamepata maradufu?
Mbona hela hakuna mtaani?
Mbona hakuna dolla mtaani?
Kwani Rais kuwataka wafanyabiashara waache kukwepa Kodi ndio inafanya Mapato yasipande? Si yamepanda?

Vitu kupanda bei kwani si ndio uchumi Wenyewe? Bei za vitu 2020 zilikiwa sawa na 2015/16?

Makusanyo yamepanda bila kupora pesa ya mtu na yamemuwezesha Samia kufanya yafuatayo Kwa uchache
-Kujenga hospital Mpya za Wilaya 129
-Kujenga Vituo vipya vya Afya 402
-Kujenga shule Mpya za Sekondari zaidi ya 2,300
-Shule za msingi zaidi ya 300
-Madarasa zaidi ya 21,000
-Digital X rays Kwa hospital zote za Wilaya hazikuwwpo 132

Yaani hiyo ni kiuchache sana.Samia ni game changer na Mama wa Uchumi
 
Back
Top Bottom