Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mnavunja rekodi kukusanya mapato kutoka kwa wananchi wengi walio hoi bin taabani kiuchumi, halafu sehemu kubwa ya hayo mapato mnalipana mishahara minono nyinyi mliopo nafasi za juu, mnaenda kununulia ndege zinazozalisha hasara kila mwaka, mnaenda kununulia magari ya kifahari kwa makada wenu wakuu wa wilaya, nk.
Mambo ya kushangaza sana haya.
Mambo ya kushangaza sana haya.