Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7


..tuwahoji Ccm na Chadema.

..kwanza wamekubaliana nini.

..pili wamepishana ktk nini.

NB:

..Mzee Kinana aeleze CCM inapokea trillion ngapi kama ruzuku.
 
Acha porojo leta hapa hiyo taarifa ya cdm kupokea ruzuku toka 2020!?.
 
Aliyepaswa kutoa uwazi ni Mbowe kwa chama na umma!, Hajafanya hivyo na ilibaki kuwa Siri take Kwanini?. Ni lini chadema wamesema wameanza kupokea ruzuku kwa serikali toka kauli y mwanzo.

..pande zote za hayo maridhiano zinapaswa kuwa wawazi.
 
..pia kwanini CCM hawaelezi mambo waliyoyakataa ktk maridhiano?

..mimi nahisi wanaogopa kusema walikata nini kwasababu huenda ni mambo yenye manufaa kwa wananchi.

Kabisa, ndio maana wanalazimisha kutaja hayo mambo Ili kuhadaa umma kuwa wana nia njema, ila cdm ndio hawajali. Ukweli ni kuwa Kinana amefanya hivyo kama Kinga ya kuficha ukweli wa maridhiano ambayo wameyagomea. Ni juu ya cdm kujotokeza na kusema waliyoongelea kwenye maridhiano na yakapuuzwa, kisha wananchi wapime mbivu na mbichi.
 
..tuwahoji Ccm na Chadema.

..kwanza wamekubaliana mini.

..pili wamepishana ktk nini.

NB:

..Mzee Kinana aeleze CCM inapokea trillion ngapi kama ruzuku.
hoja ya msingi hapa... Je chadema wamezipikea hizo pesa?, Wameikana kauli yao ya kutokupokea ruzuku kwa serikali isiyo halali kutokana na uchaguzi 2020?. Sababu za kuipokea ni zipi?, Maridhiano yalikuwa kwaajiri ya Mbowe na CCM au Cdm na serikali ya CCM?. Chama kinajua yaliyojadiliwa au ni mbowe pekee!.
 
Acha porojo leta hapa hiyo taarifa ya cdm kupokea ruzuku toka 2020!?.

Hapa sio kwenye vikao vya cdm, ukitaka taarifa hiyo nenda kwenye vikao vyao vya ndani utapewa.
 
Hii NI hisani au ni haki yao Chadema kulipwa malimbikizo ya ruzuku?
 

..hoja ya msingi ni hizi.

1. Ccm na Cdm walikubaliana mini.

2. Ccm na Cdm walipishana ktk hoja zipi.

3. Cdm inapokea ruzuku kiasi gani.

4. Ccm inapokea ruzuku kiasi gani.
 
..pande zote za hayo maridhiano zinapaswa kuwa wawazi.
Chadema ambao wapo upande wa umma walipaswa kuwa wazi sababu wao wamejipambanua Kama sehemu ya umma juu ya udhalimu ww ccm!. Kukaa kwao kimya kumetoa mwanya kwa CCM kuja na hoja Kama hizi ambazo kimsingi zinaonesha maridhiano hayakuwa baina ya CCM na cdm bali na Mbowe..
 

..sasa tueleze basi Ccm inapokea TRILLIONI ngapi kama ruzuku?

..tumeona Mwenezi wenu kununua makalio makubwa isije ikawa amelipwa kwa kutumia ruzuku ya chama.
 
Kumbe ndio maana niliwakuta wanakula bata pale mtaani kwa akina mwa J mbwa yule..
 
Kinana angeweka taarifa nzima ya maridhiano, vinginevyo aseme mjadala pekee wa maridhiano ilikuwa hiyo ruzuku. Ruzuku ni haki ya cdm, tena hiyo ni kidogo sana maana waliporwa sehemu kubwa ya ushindi wao.
 
Tangu Kanali mzima wa Jeshi ampigie magoti Magufuli nilimdharau tangu siku Ile.

CCM Shujaa ni Bernard Membe peke yake.
 
Huelewi nini?, Hizo pesa chama walitoa taarifa lini kuzipokea ikiwa Mara ya mwisho chama kilisema hakitachukua ruzuku kwa serikali iliyoingia kwa wizi na dhuruma!. Hii umekuja baada ya maridhiano kubuma.... Kuna tatizo na wizi ww pesa hizi...
Acha kujitoa ufahamu weee pimbi, mtu wa kwanza kutamka kuwa tumepokea ruzuku ni mh Lissu mwezi March 2023, akaulizwa katibu mkuu Mnyika akakiri kuwa ndiyo wamepokea sasa ni nn kinakufanya uwe pimbi kiasi hicho???
 
Haya ndio Mambo amabayo mbowe hakutaka kuyaweka wazi wakati wa maridhiano!!, Ona wanavyomuumbua Sasa!, Ni aibu kuwa na kiongozi ambaye sio muwazi katika Mambo ya umma!.
Kwani anayeppokea ni mbowe au Chadema,tofautisha kati ya person na individual,
 
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Umekasirika? Kajinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…