Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

Je hela hizo zilikuwa halali yao au laah ?
 
Kwenye siasa hakuna good guys wala villains. Usiamini wanasiasa wala kuwawekea dhamana.
 
Acha kujitoa ufahamu weee pimbi, mtu wa kwanza kutamka kuwa tumepokea ruzuku ni mh Lissu mwezi March 2023, akaulizwa katibu mkuu Mnyika akakiri kuwa ndiyo wamepokea sasa ni nn kinakufanya uwe pimbi kiasi hicho???
Shida ya wake za Mbowe hamtaki kusikia jina la mme wenu!?
 
Yaani sipati picha mtu na mkwewe watavyotafuna hizo pesa.
Hamna chama hapo
 
JAMAA WAMEPOKEA FEDHA NA WAKAKAA KIMYA, HAWAKUTAKA NYUMBU ZILIGUNDUE HILI SUALA LA FEDHA, MH. KINANA KAARIBU ULAJI WA VIONGOZI, KAMA SIO KINANA, NYUMBU ZISINGE FAHAMU LOLOTE, HATA HIVYO RUZUKU HIYO SIYO HAKI YAO MAANA WANAMWAKILISHI MMOJA TU BUNGENI, AIDHA KWA KUIPOKEA KUNATAFSIRI AKINA HALIMA MDEE NI WANACHAMA HAI NDANI YA CHADEMA.
Konyagi zitawakoma!
 
Kama hamkubali uchaguzi bc na ruzuku msikubali mana haiwezekani ukatae mimba afu uje umkubali mtoto
Narudia tena , hizo hela sio za hayo majizi ya kura. Huenda unadhani ni mishahara ya hao waliopora uchaguzi.
 
Hivyo Katiba inaendelea kuburuzwa kwa mara nyingine tena.
 
CCM huwa inatangaza wamepokea ruzuku kiasi gani ? Acha siasa za mqji taka wewe elephants Dr
 
Mhuni mwingine. JPM aliikoa simba, twiga, tembo, pundamillia, chui wetu kutoka kwa wahuni kama huyu.
 


kwa hiyo walijua hela ikipokelewa mazungumzo yatakuwa yamefika nwisho? Jinga sana hela ni tofauti na mazungumzo au ilikuwa hongo?

Hizo hela sio hisani we msomali?

Waseme ili iweje?

Ccm ruzuku yao mbona haijawahi semwa wanapokea kiasi gani?

Takataka kabisa huyo gaid mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…