Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
JK ni mtu wa karibu sana na kinana. Hapo kuna kazi. Anything can happen.
 
Endelea kujidanganya.
 
Kume.........kuuuuuchaaaaa!!
Bado kidogo. Vuta blanketi umalizie ndoto hiyo ya kutisha.
'Chura Kiziwi' kapewa fursa kungali mapema ili ajipange vizuri. Usishangae ukiona hao hao ndio watakao kuwa mstari wa mbele kufunga magoli.

Nchi isiyo kuwa na watu 'principled' kila kitu kinawezekana. Kinana atakuwa ametoka; lakini siyo hao akina Makamba na Neppy!
 
Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
Aliomba kupumzika ukatibu wakati wa Hayati Magufuli. Baadaye alikubaliwa. Akawa makamu Mwenyekiti...na sasa amekubaliwa.

Kofia mbili...! Kikubwa wasizitenganishe... vinginevyo maneno ya Mwalimu yanaweza kuwatafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…