Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii si bure bali kuna jambo.

Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.

CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.

Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.

Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.

Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka uraisi.

Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.

Jinsia nayo ni tatizo lingine. na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.

Muda utaongea.
JK ni mtu wa karibu sana na kinana. Hapo kuna kazi. Anything can happen.
 
Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
Endelea kujidanganya.
 
Mwenye Ile Screenshot ya ya Akaunti ya DAUDI BALALI...Kuhusu UTABIRI WA uchaguzi 2025.

Atuwekee hapa.
Screenshot_20240729-204606.jpg
 
Kume.........kuuuuuchaaaaa!!
Bado kidogo. Vuta blanketi umalizie ndoto hiyo ya kutisha.
'Chura Kiziwi' kapewa fursa kungali mapema ili ajipange vizuri. Usishangae ukiona hao hao ndio watakao kuwa mstari wa mbele kufunga magoli.

Nchi isiyo kuwa na watu 'principled' kila kitu kinawezekana. Kinana atakuwa ametoka; lakini siyo hao akina Makamba na Neppy!
 
Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
Aliomba kupumzika ukatibu wakati wa Hayati Magufuli. Baadaye alikubaliwa. Akawa makamu Mwenyekiti...na sasa amekubaliwa.

Kofia mbili...! Kikubwa wasizitenganishe... vinginevyo maneno ya Mwalimu yanaweza kuwatafuna.
 
Back
Top Bottom